May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Hii haitozihusu zile penati zinazopatikana kwa beki kuunawa mpira ndani ya 18.Iwapo Mchezaji kapambana na kusababisha penati alafu hapewi fursa ya kupiga yeye basi walau ahesabiwe kama ame assist.Haina maana Mtu apambane asababishe penati tatu kwa mfano alafu zote zipigwe na mwingine,sifa zote ziende kwa mpigaji/wapigaji yeye abaki bila.