shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
- Thread starter
- #21
kumbe wachezaji mpaka ukimwi wanapimwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katka mpira kuna mikiki mikiki mingi dada kuna wengne wanaumizana mpaka damu" ni riskhauwezi kuambukizwa kwa kungatwa ila inauma sana fikilia ndio ingekuwa ni ww
Nusu ya wachezaji wa kibongo wanaweza kuwa wanaumwa .Huruma ila wasingemtangaza, ivi bongo huwa wachezaji wanapimwa kweli hayo mambo ya ngoma??