shushushu VIP JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 4,799 Reaction score 4,312 Aug 30, 2016 Thread starter #21 kumbe wachezaji mpaka ukimwi wanapimwa
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,810 Reaction score 5,773 Aug 30, 2016 #22 shushushu VIP said: hauwezi kuambukizwa kwa kungatwa ila inauma sana fikilia ndio ingekuwa ni ww Click to expand... Katka mpira kuna mikiki mikiki mingi dada kuna wengne wanaumizana mpaka damu" ni risk
shushushu VIP said: hauwezi kuambukizwa kwa kungatwa ila inauma sana fikilia ndio ingekuwa ni ww Click to expand... Katka mpira kuna mikiki mikiki mingi dada kuna wengne wanaumizana mpaka damu" ni risk
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,512 Reaction score 23,925 Aug 31, 2016 #24 Huruma ila wasingemtangaza, ivi bongo huwa wachezaji wanapimwa kweli hayo mambo ya ngoma??
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Sep 9, 2016 #25 Alizaliwa nao au aliupata kwa ngono zembe ? He is too young , kaumia mapema sana .
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Sep 9, 2016 #26 ringson said: Huruma ila wasingemtangaza, ivi bongo huwa wachezaji wanapimwa kweli hayo mambo ya ngoma?? Click to expand... Nusu ya wachezaji wa kibongo wanaweza kuwa wanaumwa .
ringson said: Huruma ila wasingemtangaza, ivi bongo huwa wachezaji wanapimwa kweli hayo mambo ya ngoma?? Click to expand... Nusu ya wachezaji wa kibongo wanaweza kuwa wanaumwa .