Mchezaji bora kwa Jana upande wa Taifa Stars - angalau aliyejitahidi

Mchezaji bora kwa Jana upande wa Taifa Stars - angalau aliyejitahidi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Sijui ingawa mimi ni upande ule mwingine kwa hili naweza kubali
Screenshot_2025-03-26-12-34-01-236_com.instagram.android~2.jpg
 
dah! sasa kama mwenye 1 shot on target ndo anakuwa bora, hao wengine 10 waliobaki sasa itakuwaje stats zao ?
 
Ukweli ni kwamba wale morroca walibebwa wala sio cha kuwalaamu wachezaji wetu wala kocha..wabebwa sana ule mpira ungecgezeshwa kwa haki taifa star wangeshinda
wangeshindaje wakati no shuti moja tu ndio lililolenga goli? hata kama kipa asingeokoa ina maana ingeisha 2-1 labda
 
wangeshindaje wakati no shuti moja tu ndio lililolenga goli? hata kama kipa asingeokoa ina maana ingeisha 2-1 labda
Unajua Refa aliwachezea taifa star mpira wa kisaikologia...kwanza kuanzia dk 1 mpaka 70 taifa star hawakupewa faulu yeyote,ila morocco wakiguswa kidogo kipenga cha hasira hiyo hali iliwashusha wachezaji moral na iliwapa uwoga mkubwa kiasi kwamba walikuwa wanachukua tahadhari sana kwa kumuofia refa asije kuwapa kadi nyekundu...wale jamaa wabebebwa hawana mpira kiivyo
 
Back
Top Bottom