Mchezaji Bora wa mechi

Mchezaji Bora wa mechi

Sisi msemo wetu Yanga Bingwa na ndio maana tukikutana tuna wapasua za kutosha ata refa akizipunguza uwa Zina baki za kutupatia point tatu.
Unatesekaa mwakaa huu poleee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kweli wangekua fair mchezaji Bora ni refa aliye wazawadia Simba Penalty ya bahasha.
Maana aina Ile ya penalty inabidi mshipa wa aibu ukatike ndio uitoe.
Refa sio mchezaji, tafuta hoja nyingin ya kupooza maumivu
 
Kama kweli wangekua fair mchezaji Bora ni refa aliye wazawadia Simba Penalty ya bahasha.
Maana aina Ile ya penalty inabidi mshipa wa aibu ukatike ndio uitoe.
Ilikuwa Penati halali kabisa ile. Ila kwakuwa akili yako ulishaiandaa kukataa jambo lolote jema wanalolipata Simba ndo maana unaibisha vikali.
 
Back
Top Bottom