el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Wanasemaga La liga ni ligi mbovu inapendelewa lakini kwanini kila siku either timu zake au wachezaji wa ligi hiyo wanachukua tuzo kubwa zote za maana katika mpira wa miguu!.
Nadhani sote ni mashahidi wa mpira mkubwa kabisa alioupiga Luka Modric katika hii michuano, moja kwa moja ameenda kumpokea kijiti Lionel Messi (La liga)ambaye alikuwa mchezaji bora World cup 2014.
Huku E.P.L wamechukua ufungaji bora( penati za kutosha) kitu kilichofanya hata mfungaji bora asiwemo kwenye kikosi bora cha Mashindano (Ajabu).
Baadae mwaka huu kama kawaida mchezaji bora wa Dunia atatokea La liga hapo bado tusisahau kuwa champions league ipo la liga tokea 2014, Balloon D'OR tokea 2009 wachezaji wanaoongoza kuingia kwenye kikosi cha Dunia kama kawaida La liga wamejazana karibia wote.
Ipo siku watu watakubali ipo tofauti kati ya umaarufu na ubora.