Mchezaji Bora World Cup Katoka La Liga tena

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Wanasemaga La liga ni ligi mbovu inapendelewa lakini kwanini kila siku either timu zake au wachezaji wa ligi hiyo wanachukua tuzo kubwa zote za maana katika mpira wa miguu!.

Nadhani sote ni mashahidi wa mpira mkubwa kabisa alioupiga Luka Modric katika hii michuano, moja kwa moja ameenda kumpokea kijiti Lionel Messi (La liga)ambaye alikuwa mchezaji bora World cup 2014.

Huku E.P.L wamechukua ufungaji bora( penati za kutosha) kitu kilichofanya hata mfungaji bora asiwemo kwenye kikosi bora cha Mashindano (Ajabu).

Baadae mwaka huu kama kawaida mchezaji bora wa Dunia atatokea La liga hapo bado tusisahau kuwa champions league ipo la liga tokea 2014, Balloon D'OR tokea 2009 wachezaji wanaoongoza kuingia kwenye kikosi cha Dunia kama kawaida La liga wamejazana karibia wote.

Ipo siku watu watakubali ipo tofauti kati ya umaarufu na ubora.
IMG_20180715_214437.jpg
IMG-20180715-WA0029.jpg
 
Hiki kikosi kimepangwa na mihemko ya watu na mapenzi yao kwa nchi Fulani kuna watu waliupiga mpira mwingi sana ila hatuwaoni wanakuja kuweka watu ambao wanawataka wao
Na ndio maana wewe hukua sehemu ya hilo jopo lililochagua hicho kikosi kwani takwimu zako ziliishia kwenye dstv tu mambo mengine waachie wenyewe.
 
Mkuu umefikiria kwa herufi kubwa japo naamini nilie fikiria kwa herufi ndogo wote tulikuwa na wazo moja

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wanasemaga La liga ni ligi mbovu inapendelewa lakini kwanini kila siku either timu zake au wachezaji wa ligi hiyo wanachukua tuzo kubwa zote za maana katika mpira wa miguu!.

Nadhani sote ni mashahidi wa mpira mkubwa kabisa alioupiga Luka Modric katika hii michuano, moja kwa moja ameenda kumpokea kijiti Lionel Messi (La liga)ambaye alikuwa mchezaji bora World cup 2014.

Huku E.P.L wamechukua ufungaji bora( penati za kutosha) kitu kilichofanya hata mfungaji bora asiwemo kwenye kikosi bora cha Mashindano (Ajabu).

Baadae mwaka huu kama kawaida mchezaji bora wa Dunia atatokea La liga hapo bado tusisahau kuwa champions league ipo la liga tokea 2014, Balloon D'OR tokea 2009 wachezaji wanaoongoza kuingia kwenye kikosi cha Dunia kama kawaida La liga wamejazana karibia wote.

Ipo siku watu watakubali ipo tofauti kati ya umaarufu na ubora.View attachment 810385View attachment 810387
Huu ndio ukweli mchungu,Champion league ni kama limesha hamia Spain,balon d'Or ndio kwao huko.
 
Ni mtoto pekee anaeanza kupevuka akiwa kaanza kujihusisha na makundi ya uvutaji wa bange ndo anaweza kusema EPL ni bora kuliko La Liga.. Kama Wazaramo wa Ulaya(England) walivyotaka kutuaminisha kua kitimu chao kina ubora wa hali ya juu kuweza kuchukua World cup msimu huu ndivyo wanavyotuzuga kwa ki ligi chao..
Kama ntaendelea kua na akili timamu hizihizi ntaendelea kuamini kua La Liga ni bora na EPL ni maarufu tu..Umaarufu wa Alteza bongo hauifanyi kua bora zaidi ya Mercedes Benz Compressor
 
Wanasemaga La liga ni ligi mbovu inapendelewa lakini kwanini kila siku either timu zake au wachezaji wa ligi hiyo wanachukua tuzo kubwa zote za maana katika mpira wa miguu!.

Nadhani sote ni mashahidi wa mpira mkubwa kabisa alioupiga Luka Modric katika hii michuano, moja kwa moja ameenda kumpokea kijiti Lionel Messi (La liga)ambaye alikuwa mchezaji bora World cup 2014.

Huku E.P.L wamechukua ufungaji bora( penati za kutosha) kitu kilichofanya hata mfungaji bora asiwemo kwenye kikosi bora cha Mashindano (Ajabu).

Baadae mwaka huu kama kawaida mchezaji bora wa Dunia atatokea La liga hapo bado tusisahau kuwa champions league ipo la liga tokea 2014, Balloon D'OR tokea 2009 wachezaji wanaoongoza kuingia kwenye kikosi cha Dunia kama kawaida La liga wamejazana karibia wote.

Ipo siku watu watakubali ipo tofauti kati ya umaarufu na ubora.View attachment 810385View attachment 810387

Kikosi kibovu kabisa, Pogba mbele ya Ratic au DE bruyn???

Vida wa coratia yuko wapi???
 
Ndo maana mchezaji akishapata mafanikio EPL anaanza kuwaza kwenda LA liga ili akacheze ligi bora na wachezaji bora!
 
Ni mtoto pekee anaeanza kupevuka akiwa kaanza kujihusisha na makundi ya uvutaji wa bange ndo anaweza kusema EPL ni bora kuliko La Liga.. Kama Wazaramo wa Ulaya(England) walivyotaka kutuaminisha kua kitimu chao kina ubora wa hali ya juu kuweza kuchukua World cup msimu huu ndivyo wanavyotuzuga kwa ki ligi chao..
Kama ntaendelea kua na akili timamu hizihizi ntaendelea kuamini kua La Liga ni bora na EPL ni maarufu tu..Umaarufu wa Alteza bongo hauifanyi kua bora zaidi ya Mercedes Benz Compressor
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
wabongo bwana ni malumbano ya kijinga sana,uzuri na ufundi wa mchezaji unabebaje ubora wa ligi,modric ni mzuri toka zamani messi anajulikana,sasa nawatuma mwende mkamchukue lukaku mumpeleke la liga halafu awe mchezaji bora siku za usoni.wanaochaguliwa wanachaguliwa sababu ya vipaji.na kama mpira ni magoli basi kane ndio ameweza kama penalti hazitakiwi muwambie fifa zifutwe sawa.
 
Kilichosababisha Belgium na Uingereza kutolewa ni kwa sababu ya kujaza wachezaji wengi wa EPL.
Povu ruhusa!
 
spain imetolewa je ilikuwa na wachezaj wa ngap wa Epl?
 
Kilichosababisha Belgium na Uingereza kutolewa ni kwa sababu ya kujaza wachezaji wengi wa EPL.
Povu ruhusa!

Kilichosababisha Spain Kutolewa Mapema Ni Kwasababu Wachezaji Wake Wote Wa First XI Ni Wa Laliga isipokuwa De Tea tu.

Povu Ruksa.
 
Back
Top Bottom