Mchezaji Bora World Cup Katoka La Liga tena

Mchezaji Bora World Cup Katoka La Liga tena

Yani Tumepoteza muda Tu Kumjibu Mtoa Post! Kiukweli Hicho Kikosi Bora Cha Wedi Kapu Alichokiweka Chenye Wachezaji 6 Wa EPL Kinatosha Kumjibu mwenyewe Hiyo Mihemko Yake.

Anashindwa Kufikiri Kuwa Pale Hakuingizwa na La Liga Bali Kaingizwa na Croatia Kwani Huyuhuyu Modrich angelikuwa Kaichezea Argentina, Brazil, Germany au Spain Basi asingeliingia Hata Katika Kikosi bora.
Na Belgium ingelicheza Fainal na France basi Hata Hazard angelikuwa yeye ndiye Mchezaji Bora.

Huwezi niambia Kuwa Modric Ni Bora Kuliko Messi.. Lakini Mafanikio ya Timu zao za Taifa Ndiyo Yaliyowatofautisha.
 
Kilichosababisha Belgium na Uingereza kutolewa ni kwa sababu ya kujaza wachezaji wengi wa EPL.
Povu ruhusa!
vipi spain imetolewa 16 ilikuwa na wachezaji wa EPL?
Germany je? ilikuwa na wachezaji wa EPL?
 
Back
Top Bottom