Mchezaji coastal afariki uwanjani timu ikitoa sare na mwadui

Mchezaji coastal afariki uwanjani timu ikitoa sare na mwadui

R.I.P. Tatizo Watanzania Siasa Hata Ktk. Uhai!! Kusema Eti Vyombo Vyote Vinaripot Hbr Za Mh. Lowassa Na Genge Lake!! Hivi Ni Serious Hiyo!! Leo Ni Nani Ambaye Haoni Au Hajui Kuwa Hbr Za UKAWA Zinatolewa Na ITV, TV ONE, AZAM Na CHANEL TEN TU!! Je, Hivyo Vingine Vinatangaza Hbr Za CCM Tu Kutwa Nzima Wametangaza Hiyo Hbr Ya Kifo Cha Mchezaji!!!!!?? Watanzania Tuache Kuchochea Chuki Jmn!! Hii Ni Sumu Mbaya Saaana!! Kumbukeni Ilivyokuwa Zanzibar Tokea 1995 Hadi 2010!!! Siasa Ni Mchakato Wa Kupata Viongozi Wetu!! Sio Kujenga Uadui, Chuki, Uhasama Na Utengano Kati YETU WATANZANIA!!

Mkuu ukipewa kazi ya kuyagonga nyundo za vichwa majinga utaishiwa nguvu kabla ya kufikisha hata robo yapo mengi mnooo!
 
RIP mpiganaji wa Coastal UKAWA tunakuombea upumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom