Mchezaji Deborah Fernandez Mavambo na Mchambuzi wa Michezo Wasafi FM Oscar Oscar hawana Undugu kweli kwa wanavyofanana?

wanafanana kama nyie leo mlivyojifananisha matokeo na coastal union!😂
 
Jamaa wanafanana hadi balaa.
Deborah anamiliki saluni hapa mtaani kwetu mwanamke anachamba kuliko mkono wa kushoto, na anavyo tutwa kwa wiki mara 12 kadazan la tait..... mwanamke mpana yule ka gagulo la msomali.
Huyo mwezie naskia ndio mdangaju grade one, kila akiguswa na shekheli anajaa kuliko koko la mlenda wa bamia...🤣
 
Naona huko mtaani kwenu wote mmepinda,maana we mwenyewe mbona kama unayemzungumzia😅😅
 
Back
Top Bottom