Tetesi: Mchezaji Ellie Mpanzu amegoma kuhudhuria mazoezi tangu Jumatatu akidai 25% ya malipo yake yaliyobakia

Tetesi: Mchezaji Ellie Mpanzu amegoma kuhudhuria mazoezi tangu Jumatatu akidai 25% ya malipo yake yaliyobakia

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa.

Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona mchezaji huyo akirejea kunako Ligi kuu Bara.

Inaelezwa kwamba tangu Jumatatu mchezaji huyo hajaonekana katika viunga vya mazoezi ikidaiwa kwamba anahitaji kukamilishiwa deni lake ndipo aendelee na ratiba ya kusalia klabuni hapo.
 
Tunaijua hiyo, mshatupiga na ally kamwe hii haitutoi kwenye reli
 
Mtoa mada inaonekana swaumu ni kali sana mpaka akili zimevurugika.!!
 
Tiliambiwa hiki kikosi ni Bil 7 inakuwaje sasa jamaa anadai.
 
Back
Top Bottom