Tetesi: Mchezaji Ellie Mpanzu amegoma kuhudhuria mazoezi tangu Jumatatu akidai 25% ya malipo yake yaliyobakia

CCM Ndio inapenda vijana na watanganyika nguvu waweke uko kwenye simba Na YANGA.
Oh okay sawa
 
Sijawahi kusikia Simba wakidaiwa
 
Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa.

Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona mchezaji huyo akirejea kunako Ligi kuu Bara.

Inaelezwa kwamba tangu Jumatatu mchezaji huyo hajaonekana katika viunga vya mazoezi ikidaiwa kwamba anahitaji kukamilishiwa deni lake ndipo aendelee na ratiba ya kusalia klabuni hapo.
Umeandika kimbeya sana.
 
Kenge wewe
 
sawa acheze mpanzu asicheze kipigo kwa nyuma mwiko kipo palepale
 
Back
Top Bottom