Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Mimi ni mnazi wa masuti ya mbali hivyo na wa miss pia
Michael Ballack
Frank Lampard
Steven Gerald
Michael Essien
Deco
Nedved
Scholes na
Tosten Frings
Hawa jamaa usiombe wakutane na mpira una ambaa ambaa mita 20 hadi 30 kipa ataona nyotanyota tu.

Kwa kipa nammiss Oliver Khan
 
Hicho kitu sahau mzee. Hao akina gaucho nguvu ya soda___wasingeonekana kipindi cha KING MESSI.

Mwacheni huyu dogo wakiargentina kama alivyo.ni kumvunjia heshima kum-compare na vitu vya kijinga.
Nimekutukana tusi kubwa sana Yaani gaucho ni vitu vya kijinga?we jamaa hamnazo kweli,hivi gaucho unamfahamu vizuri au kipindi yupo uwanjani we ulikua unanyinyea(mtoto),messi anafanya vitu ambavyo mtu yeyote anaweza fanya lakini sio gaucho,jamaa aliufanya mpira kama rafiki,unampa credit messi kwa kukimbiakimbia na kufunga?mpira ni zaidi ya hivyo vitu viwili,jiheshimu dogo.
 

Dah nimewamiss mno hawa washkaji.Michael essien na ballack.
 
Andrea pirlo ... Gaucho si anaitumikia ile club iliyopata ajali kule brazil?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…