Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutukana tusi kubwa sana Yaani gaucho ni vitu vya kijinga?we jamaa hamnazo kweli,hivi gaucho unamfahamu vizuri au kipindi yupo uwanjani we ulikua unanyinyea(mtoto),messi anafanya vitu ambavyo mtu yeyote anaweza fanya lakini sio gaucho,jamaa aliufanya mpira kama rafiki,unampa credit messi kwa kukimbiakimbia na kufunga?mpira ni zaidi ya hivyo vitu viwili,jiheshimu dogo.Hicho kitu sahau mzee. Hao akina gaucho nguvu ya soda___wasingeonekana kipindi cha KING MESSI.
Mwacheni huyu dogo wakiargentina kama alivyo.ni kumvunjia heshima kum-compare na vitu vya kijinga.
Mimi ni mnazi wa masuti ya mbali hivyo na wa miss pia
Michael Ballack
Frank Lampard
Steven Gerald
Michael Essien
Deco
Nedved
Scholes na
Tosten Frings
Hawa jamaa usiombe wakutane na mpira una ambaa ambaa mita 20 hadi 30 kipa ataona nyotanyota tu.
Kwa kipa nammiss Oliver Khan
Zinedine zidaneChidi chibi chibindu!!
Often Martin
non flying dutchmanDenis Bergkamp