Unaikumbuka hio mechi ? Mimi naikumbuka ilijaa ufundi redondo unayemsema akichangia ufundi mwingi kwenye kiungo.Umeandika nini mkuu?
Unaikumbuka hio mechi ? Mimi naikumbuka ilijaa ufundi redondo unayemsema akichangia ufundi mwingi kwenye kiungo.
Ni kiungo bora ambaye hakuwika sana kwenye timu yake ya taifa
Marehemu atarudije uwanjani?Pele
Acha kutusingizia wapenda soka.wapenda soka wote wanam-miss na wanatamani siku zingerudi nyuma ili Gaucho arudi uwanjani.
Hamisi gagaMakumbi Juma