timothkaswaga
Member
- Jan 29, 2017
- 63
- 38
Shindwa hajafanywa chochotehujasikia mmoroko alivyo mfanya
kaka ni mrokole mkuu labda ndo maana alifanikiwa huwa hana makuu kabisa huyu jamaa.Ricardo Kaká huyu namwangalia anachipukia hadi anakuja kuvuruga kutransfer to madrid
akiwa mdogo kaka anamanage kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu akiwa na nguli wenye umri mkubwa kama carlos, maldin, Cafu, Crespo, Schevichenko, Nedved, na wengineo vijana wa siku hizi hichi kitu kinawashinda
Mchezaji wangu Bora wa muda wote Ricardo Kaka
hata mm huyu jamaa nilikuwa na muhofia sana pale alipokuwa hata akiingia dk ya 85 lazima mabeki wajipangeLouis Saha.
Huyu bwana nahisi alionesha 1/4 tu ya kipaji chake sababu ya kuwa majeruhi mara kwa mara hasa akiwa pale Man U.
Kwa mujibu wa Wyne Rooney ni kwamba Saha ndiye favorite player wake ambaye amewahi kucheza naye.
swadaktakaka ni mrokole mkuu labda ndo maana alifanikiwa huwa hana makuu kabisa huyu jamaa.
Bado anacheza hajastaafu yupo Nottingham Forestkwa upande wangu ni lord bentner aka B 52.
Litmanen na Ajax ile ya akina De Boer brothers, Patrick Kluivert, Finidi George, Edwin Van Der Sar wanabeba Uefa Champions League chini ya Jemedari Louis Van Gaal.Mohamed chuma wa mtwara beki miaka 15 taifa starz na mashindano ya ndani hakuwahi kupata kadi nyekundu.
Jari litmannen chuma cha ajax hiki hakikuwa na mchezo na kuzifumania nyavu.
Suker aling'aa World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa.Mkuu huyo davo suker alipata tu kiki ile world cup na kuwa top scorrer yani ni kama man fongo na haina ushemeji.
Apart from ile world cup ya 2002 kama sikosei sidhani kama alisikika tena. Huyu ni kama James Rodriguez alivyopata ngekewa world cup 2014 but sa hivi kapotea pale madrid
Mkuu flying dutchman alikua ni Mack Overmass, kama niko sahihiThe non flying dutchman. Magoli yake dhidi ya Leicester city na Newcastle yalinifanya nimkubali japo alikuwa anachezea wapinzani wangu.
Yap aron winter pale pembeni Michael reizger Winston bogade jamaa alikuwa anapiga kazi huku anatabasamuLitmanen na Ajax ile ya akina De Boer brothers, Patrick Kluivert, Finidi George, Edwin Van Der Sar wanabeba Uefa Champions League chini ya Jemedari Louis Van Gaal.
Yaah mark ndo aliitwa hivyo.Mkuu flying dutchman alikua ni Mack Overmass, kama niko sahihi