Alinifanya nikawa fan wa New castle wakati alipofunga goli la mwaka! Tatizo alifail madawa na ndo ukawa mwisho wake. Ngada taabu sana.Faustino Asprilla.
Alifikia hapo Kelli?? Yuko wapi huyu jamaaMzee wa unga au ndio punda sijui
Hii timu huwa naihesabu kama ina gundu vile vipaji vipo khasa wale wa Suriname toka rudy mpaka seedorf Michael reizger aroon winter Kluivert ukichanganya na watu kama van Basten koemen na huyu blind baba unapata kujua namna walivyo barikiwa zaidi ya kuchukua ndoo ya ulaya mwaka 1988 ndio kilele chao cha mafanikio na kuingia fainali kombe la dunia kama mara tatu 1974 na 1978 na hapo juzi kati hawana cha kujivunia tena.Danny Blind wamemtimua kazi jana
Faustino Hernan "Tino "asprilla yeye pamoja na Carlos verderama (manywele )na rene heiguita yule nyanda mwenye mbwembwe nyingi walifanya nikipende kikosi cha ColombiaAlinifanya nikawa fan wa New castle wakati alipofunga goli la mwaka! Tatizo alifail madawa na ndo ukawa mwisho wake. Ngada taabu sana.
Unakumbuka kipa wao alipigwa risasi baada ya kufungwa kwenye world cup I can not remember which year, ndo mwanzo wa Aspilla kubugia mavitu na mwisho wa mchezo wake maskini.Faustino Hernan "Tino "asprilla yeye pamoja na Carlos verderama (manywele )na rene heiguita yule nyanda mwenye mbwembwe nyingi walifanya nikipende kikosi cha Colombia
Hawana bahatiHii timu huwa naihesabu kama ina gundu vile vipaji vipio khasa wale wa Suriname toka rudy mpaka seedorf Michael reizger aroon winter Kluivert ukichanganya na watu kama van Basten koemen na huyu blind baba unapata kujua namna walivyo barikiwa zaidi ya kuchukua ndoo ya ulaya mwaka 1988 ndio kilele chao cha mafanikio na kuingia fainali kombe la dunia kama mara tatu 1974 na 1978 na hapo juzi kati hawana cha kujivunia tena.
Sio kipa, bali ni beki Andres Escobar.Unakumbuka kipa wao alipigwa risasi baada ya kufungwa kwenye world cup I can not remember which year, ndo mwanzo wa Aspilla kubugia mavitu na mwisho wa mchezo wake maskini.
Alikuwa fullback escbor waqt huo soka la marekani (usa )halikuwa katika kiwango cha kuchagama na Colombia so matajiri wengi wa mihadarati walitia mzigo (kamari )wakiamini watashinda mambo yakawa tofauti kina salas beki wa kati alikuwa na mzuzu flan hivi kama beberu na vijana wake wakafanya yao. Na inasemekana hali ilikuwa tete jamaa walivyo rudi Colombia na escobar mwenyewe alisikika akiwaambia wenzie kuwa wasizurure mitaani cha ajabu yeye akatoka kwenda bar jirani na kwake kumbe kuna mtu alikuwa ana msubiri akamfumbia jicho shughuli ikaisha.Unakumbuka kipa wao alipigwa risasi baada ya kufungwa kwenye world cup I can not remember which year, ndo mwanzo wa Aspilla kubugia mavitu na mwisho wa mchezo wake maskini.
Gilbert Mahinya, khalid abeid, omary gumbo, athumani Juma, nico njohole, shekhan rashid, selemani matola,Chidi chibi chibindu!!
Frank RijkaardHawana bahati
Mi nasemaga uholanzi ndio Brazil ya ulaya, yaani huwa ni kisima cha vipaji lakini mafanikio ndio tena ziro.Frank Rijkaard
Michael van Basten
Ronald koeman
Kluivert
Rudy seedorf
Edgar davis
Mark overmars
Bergkamp
Van dar ser
Van de gour
Van perse
De bour brothers
Na wengine wengi ni kizazi tosha cha kuweza kutwa makombe lakini sijui kitu gani hapo kilikosekana.
Yaah ule mchanyato na wale waamerika ya kusini na wazungu unaleta kitu chanya toka enzi za babu yao Johan cruffy mpaka hawa wamekuwa watu wa huzuni tu brazil pana miaka walikuwa wanaifunga kwa taabu sana kama mwaka 1994 goli la jioni la branco ndio liliamua mchezo kabla ya hapo the orange walikuwa wamepewa mbili mtungi wakachomoa.Mi nasemaga uholanzi ndio Brazil ya ulaya, yaani huwa ni kisima cha vipaji lakini mafanikio ndio tena ziro.
Hata sasa hivi wako kwenye hati hati ya kushiriki WC mwakani.
Acha kuharibu uzi
Jaap StamFrank Rijkaard
Michael van Basten
Ronald koeman
Kluivert
Rudy
seedorf
Edgar davis
Mark overmars
Bergkamp
Van dar ser
Van de gour
Van perse
De bour brothers
Na wengine wengi ni kizazi tosha cha kuweza kutwa makombe lakini sijui kitu gani hapo kilikosekana.