Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #201
Mpaka sasa wanaoongoza ni;
Gaucho
Zidane
Okocha
Gaucho
Zidane
Okocha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile chenga zake na mpira wa kutulia. Penati zake alivyokua anazichota
5Nilikua nampenda sana,1998 aliiweka brazil kiganjani, aliwafanya kama watoto wake na kanzu za kumwaga kama hana akili, alaf kuna baadhi ya mijitu eti inadai players walipuliziwa dawa ya kuwalewesha, sijui ni kutokusoma ama ni nini!😀😀...tutammis sana zizzo
Hahahaha mkuu hawa uliowataja wote wana allegations za kutumia ngada...tena huyo Higuita wanadai ni wholesaler...watoto wa Medellin.Faustino Hernan "Tino "asprilla yeye pamoja na Carlos verderama (manywele )na rene heiguita yule nyanda mwenye mbwembwe nyingi walifanya nikipende kikosi cha Colombia
list yangu ikiendelea kuna Pawasa,salvatory Edward,Lunyamila,Joseph katuba,fabian batez,wes brown,mandieta,sidofPawasa, victor Costa na dinho
Huyu Rene alikuwa kichaa khaswa pana goli alifungwa na Roger Milla kwa sababu ya hizo mbwembwe zake.Hahahaha mkuu hawa uliowataja wote wana allegations za kutumia ngada...tena huyo Higuita wanadai ni wholesaler...watoto wa Medellin.
Hivi Shehan Rashid hiki kifaa kilipotelea wapi?LEO tukiwa tunaadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Ronaldinho Gaucho, mmoja kati ya Wanasoka mahiri kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.
Wengi wanaamini bado hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuziba pengo lake licha ya uwepo wa Messi na Ronaldo, wapenda soka wote wanam-miss na wanatamani siku zingerudi nyuma ili Gaucho arudi uwanjani.
Je wewe ukiwa kama shabiki na mpenzi wa soka, kama siku zingerudi nyuma ni Mchezaji gani wa soka aliyestafu ungetamani umuone akisakata tena kabumbu?