Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Nilimix madesa buana wee. Ni wa real Madrid atiiii sio wa OT
Screenshot_20170415-232504.png
mkuu huyo Garincha hajawahi kukiputa Madrid....labda km unazungumzia yule Stephen Mapunda Garincha aliyechezea Simba na Real Madrid ya Kolomije
 
View attachment 496610mkuu huyo Garincha hajawahi kukiputa Madrid....labda km unazungumzia yule Stephen Mapunda Garincha aliyechezea Simba na Real Madrid ya Kolomije
Huko huko google. Huyo huyo garrincha,msome club alizochedhea. Mwanzo nilimix madesa rite now,I'm very sure na ninachokisema. Kapita juve na Madrid huyo
 
MwaArgentina huyu Alfredo de stefano__alikuwa ni balaa, jezi aliyovaa ni RIVER PLATE iliyobeba ubingwa amerika ya kusini mwaka jana kama sikosei wandugu. Ningetamani arudi

alfredo-de-stefanio-photo-u4.jpeg
 
Huko huko google. Huyo huyo garrincha,msome club alizochedhea. Mwanzo nilimix madesa rite now,I'm very sure na ninachokisema. Kapita juve na Madrid huyo
Ubaya ni kwamba pamoja na ufundi wote na kipaji maridhawa alichobarikiwa na Mungu, Garrincha hakuwahi kucheza Ulaya.
 
Suker aling'aa World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa.

Walishika nafasi ya tatu kama sikosei kulikuwa na fundi wa mpira aliyeitwa Zvonomir Boban jamaa alikuwa analijua kabumbu haswa ndio maana sikushangaa Haruna Moshi alipoiga jina la Boban.
Aisee kuna Watu huwa mna angalia vingi,yeah huyu Bonan naye ni moja ya mafundi wa mpira niliowahi kuwaona nikiwa na umri mdogo tu
 
Uko sahihi kiongozi. Bergkamp pamoja na ufundi wake alikuwa anaogopa kupanda ndege.

Ila lile bao lake dhidi ya Argentina kwenye World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa limebaki kwenye historia ya magoli bora kuwahi kufungwa kwenye WC.

Commentator anakwambia, " Three touches, Control, Turn and Finish " alimwacha Beki Roberto Ayala akishindwa kugeuka.
Nimeshalisahau acha nilitafute aisee nijikumbushe
 
96deb62abfa008fb2e8270da9a08c217.jpg

Anaitwa Ricardo Izecson dos Santos Leite alimaarufu kama KAKA.

Moja wapo ya wachezaji wenye nidhamu ya hali ya juu kabisa kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka.

Katika timu zote alizochezea amecheza kama kiungo mshambuliaji na mchango wake ulionekana sana, nakumbuka UCL ya 2005 second half, midfield ya Ac millan yote ilipotea ila yeye pekee tu ndio alionekana kuwa hai na isingekuwa schevichenko kupoteza pasi zake mbili za mwisho kwenye extra time yeye ndio angekuwa man of the match wa siku hiyo.

Kwenye fainali ya confederation cup 2009 mimi ni mmoja wapo ya watu waliompa KAKA cheo cha ubrigedia generali wa mpira wa miguu.
Haaa haaa haaa,hivi jamaa aliwahi kupewa kadi nyekundu?
 
Back
Top Bottom