Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Jay jay Okocha
Ningependa....Nteze John (lungu)...Fumo Felicia.....Bahatisha Chandulute...kamba lufo....twaha hamidu...madua zuberi...JUMA bakari Kidishi...hassan wembe...Tito endrew....Hussein masha...Deo mkuki...sanifu Lazaro...Lisa mwalupindi ....ibrahimu nyandindi....kipanya malapa...karume songolo....Alfonse modest....mustafa hoza...said sued zimbwe...malota soma ....nadhir mchomba( r.I.p).......bakari malima jembe Ulaya.....dancan butinini(r.I.p) Daud kufakunoga....
 
duuuhh mzee haya bhana,vipi edibil lunyamila,sekilojo chambua,stephen mapunda umewasahau
 
LEO tukiwa tunaadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Ronaldinho Gaucho, mmoja kati ya Wanasoka mahiri kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.

Wengi wanaamini bado hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuziba pengo lake licha ya uwepo wa Messi na Ronaldo, wapenda soka wote wanam-miss na wanatamani siku zingerudi nyuma ili Gaucho arudi uwanjani.

Je wewe ukiwa kama shabiki na mpenzi wa soka, kama siku zingerudi nyuma ni Mchezaji gani wa soka aliyestafu ungetamani umuone akisakata tena kabumbu?
Pavel Nedved,Edgar Davids,Redondo,Requelme,Hassansas,Lizarazu,Trezeget,Thierry Henry na Zizou!
 
George golle, Paul rwechungula, juma mhina, George masatu , Hussein masha, beha simba, na nteze john.
 
Pavel Nedved,Edgar Davids,Redondo,Requelme,Hassansas,Lizarazu,Trezeget,Thierry Henry na Zizou!
Mimi ningependa kuwaona tena watu hawa, Fundi Mohamed aboutrika, Pierre Beyaka Njaka( bushman), Mustafa hadji, Ziad Jazir, Michael Laudrup, Nuno Gomez, John Dah Thomason, Edimilson, Claudio caniggia, Hidetoshi Nakata na Yildirac Basturk.
 
03be18afb35f386da4fbb858be1f1749.jpg
kamusoko[emoji41]
 
Back
Top Bottom