Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Ronaldo de lima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa unga au ndio punda sijuiJoseph kaniki "gorota"mzee wa mashuti
![]()
Huyo Mcolombia namkumbuka vyema akiwa Newcastle Fc ya akina Gary Speed na Alan Shearer golini akiwa Shay GivenFaustino Asprilla.
Jamaa alikataa ofa ya kwenda kucjeza El Mereikh kisa aendelee kubakia Yanga.mrisho ngasa
Mkuu bila kupepesa macho wewe ni Msimbazi kindakindaki.Hussein Marsha, Athuman China,?Mohamed Mwameja, Malota Soma, Madaraka Suleiman,Zamoyon Mogella, Twaha Hamidu, George Masatu, Kasongo Athuman n. K
Nakuunga MkonoRonaldinho
Hakuwa na bahati na makombe.Jay jay Okocha
The non flying dutchman. Magoli yake dhidi ya Leicester city na Newcastle yalinifanya nimkubali japo alikuwa anachezea wapinzani wangu.Denis Bergkamp
Alipata umaarufu uzeeni.Juan Román Riquelme
Ile miguu ilikuwa hatari sana..