Huyo huyo nilimpenda sana Michael Owen ila majeruhi walimpenda zaidi sana. He was a nice kid. Alichezea na Manchester ila hakudumu. He is a nice kid.Yupi huyo? Mbona kama kumbukumbu zangu hazioneshi uwepo wa huyo mtu ndani ya kikosi cha Liverpool? Au unasema Michael Owen