Charles Nyoni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Swali liko wazi wewe unatoa historia, utopolo mtabaki kuwa mabingwa wa kihistoria.Mechi ya Simba na kagera sugar dakk ya 89 bila bila mara ghafla kagera akapata penati, mashabiki wa Simba walivoona SALUM KANONI kaenda kuchukua mpira akapige penati ndipo historia ya kung'oa viti ilipoanzia
Acha ushabiki maandazi we mtoto sio kila mtu Ni shabiki wa hizo timu zakoSwali liko wazi wewe unatoa historia, utopolo mtabaki kuwa mabingwa wa kihistoria.
Ni wewe kweli! ama umeandikiwaTz - Nyoni
Other - Balotelli
Unanchukuliaje kwan? Afu kabumbu naijua kuliko inavojijua yenyewe,Ni wewe kweli! ama umeandikiwa
Nyoni ameshsawahi kukosa mara mbili,moja akiwa Stars nyingine Simba. Ambaye sijawahi ona akikosa ni Aggrey Morris wa Azam.Katika ligi ya VPL na nchi ya Tanzania kwa ujumla hakuna mpiga penati mzuri zaidi ya Nyoni, kwakweli sijawahi kuona au kuskia kakosa penati, na Hilo jambo inaonekana ata ndani ya team ya Simba linajuliakana ndomana baada ya kupata penati mchezaji kama Chama anaenda kumpa mpira Nyoni apige ni wazi anajua uwezo wake, refer mechi ya Uganda vs Tanzania tumepata penati samatta anaenda kumpa Nyoni, kwahiyo chaguo namba 1 ni Nyoni na nje ya Tanzania ni Cr7
Labda taifa stars mkuu, ila Nyoni kaenda Simba me nina akili timamu 2017 na sijawahi kuona wala kuskia kakosa penati, taifa stars sina uhakika maana ameanza kuichezea muda mrefuNyoni ameshsawahi kukosa mara mbili,moja akiwa Stars nyingine Simba. Ambaye sijawahi ona akikosa ni Aggrey Morris wa Azam.