Mchezaji gani unamkubali kwenye kupiga penati?

Mchezaji gani unamkubali kwenye kupiga penati?

Miquissone akimchagua Nyoni akapige penati

1610044329700.png
 
Tz ni Nyoni.
Wengine wataweza kwa msaada wa paka mweusi.
 
Katika ligi ya VPL na nchi ya Tanzania kwa ujumla hakuna mpiga penati mzuri zaidi ya Nyoni, kwakweli sijawahi kuona au kuskia kakosa penati, na Hilo jambo inaonekana ata ndani ya team ya Simba linajuliakana ndomana baada ya kupata penati mchezaji kama Chama anaenda kumpa mpira Nyoni apige ni wazi anajua uwezo wake, refer mechi ya Uganda vs Tanzania tumepata penati samatta anaenda kumpa Nyoni, kwahiyo chaguo namba 1 ni Nyoni na nje ya Tanzania ni Cr7
Nyoni ameshsawahi kukosa mara mbili,moja akiwa Stars nyingine Simba. Ambaye sijawahi ona akikosa ni Aggrey Morris wa Azam.
 
Nyoni ameshsawahi kukosa mara mbili,moja akiwa Stars nyingine Simba. Ambaye sijawahi ona akikosa ni Aggrey Morris wa Azam.
Labda taifa stars mkuu, ila Nyoni kaenda Simba me nina akili timamu 2017 na sijawahi kuona wala kuskia kakosa penati, taifa stars sina uhakika maana ameanza kuichezea muda mrefu
 
Back
Top Bottom