mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Tangu nianze kufuatilia mpira mwaka 1993,mwaka ambao Azim Dewji aliahidi Simba ikishinda kombe la CAF angewapa gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,na Simba ikafika fainali na kupigwa chuma mbili pale Taifa na Stella Abidjan,ni wachezaji wengi sana wameenda nje kufanya majaribio lakini huwa wanarudi pakavu.
Kwa msimu huu pekee kuna Kibu Denis ambaye msimu wa pili huu hana goli hata moja ligi kuu.
Pia kunaNabii Elia Mpanzu ambaye anaonekana ni hatari sana
Kule Yanga huwani wagumu sana kumruhusu mtu kutafuta rizki nje wakampokea
Picha linaanza kupimwa afya
Hapa hupima magonjwa yote,ukimwi,pumu,sukari presha,moyo,wingi wa damu,meno,kucha,ulimi,nywele,ngozi,mifupa,maini,figo,kongosho,utumbo mpana na mwembamba,mapafu,bandama na mix by ass kuona kama unaingiliwa au la.,mfumo mzima wa damu na upumuaji,mishipa ya ngiri,busha,matende
Wakimaliza utapelekwa lunch au dinner,utakaribishwa buffet huku kwa mbali kuna mtu anaangalia umekula kiasi gani bila wewe kujua ukila slace mbili za mkate na mayai mawili na chai kikombe Kimoja ujue umeshfeli.Mrisho ngassa alishindwa kymaliza kuku nusu kesho yake akarudishwa
Ukitoka hapo utapelekwa uwanjani kupimwa utimamu wa mwili utaambiwa zungka uwanha round kadhaa kwa muda walioupanga,kuna marks zake,kuna kylenga shabaha,yatawekwa masanamu utaambiwauyalenge,kyna marks zake,kuna ball cintrol and dribbling,kuna narks zake,mwisho utaambiwa onyesha skill yako ambayo unadhani unayo na hawajakujaribu nayo,
Kibu Denis alipata asilimia 20
Nabii Eliia Mpanzu asilimia 30
Ngasa asilimia 10