Mchezaji kufanyiwa majaribio,Je,unajua huwa wanajaribiwa nini?,kwanini wachezaji wetu huwa wanafeli majaribio huko nje?

Hata kama waliongeza chumvi, ila jamaa kula wanakula haswaaaa.

Hasheem Thabeet alishathibitisha kwamba akiwa anacheza NBA Marekani alikuwa anakula milo 6 kwa siku, na mingi ya hiyo ni heavy meals haswaaa.
Wenzetu wanakula haswaa
 
Huku wali maharage tonge mbili umeshiba kudadeki, mwili uliokuzwa na utumbo wa kuku wa kukaanga siku ukiletewa kuku halisi na mbogamboga, matunda, maji nk lazima uhisi unaonewa...hapo uliposema dribbling ndo nimechoka then ukataja Kibu daah, ana haki ya kubaki Ili ajifue kwanza.
 
Mpira sio mchezo wa kitoto.ile ni shughuli pevu sana
 
Stori ya Drogba ni kuku nzima au kuku watatu?
 
Uongo mtupu!
 
Daah kwa vipimo vyote hvyo kutoboa mbona ni jau mkuu kama kweli hujachapia..

Kwa zama hizi za shisha na mitungi mbona kutoboa ktk hayo wabongo ni NTIHANI NTUANGU..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…