Mchezaji kujifunga goli 3

Mchezaji kujifunga goli 3

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Uko poa mwana Jf?.

Kichwa cha habari chahusika. Je,inahesabika kama hat-trick? Je,ataondoka na mpira?

Nawasilisha.
 
Hachukui mpira wala nini..twanga marisau ya miguu...mara tatu nzima?
 
Back
Top Bottom