Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ali Kamwe ni punga tuHuu sio ushabiki wa mpira ni udhalilishaji. Endelea na hiyo tabia halafu acha pm wazi uone balaa lake.
Duh!...Ingekuwa ni Kosa Kubwa Sana Limefanyika Uto Kuchukua Kombe lolote Afrika Kabla Ya Simba..!
Polesio kutuuma ni kushangaza
Kanunue na wewe mayele apate kiatu kabla hajaenda arabuniWANANUNUA MAGOLI HILO SAIDO ATOKE NA KIATU
Kwa kweliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wamevurugwa sio kidogo
Mayele hamna kitu paleMayele is overrated! Hakuna msimu amefikisha goli 17.
Na msimu huu mfungaji bora ni Saido Ntibazonkiza.
Striker wa kigeni kuwahi kuwepo Tanzania ni Medie Kagere tu. Akiwa Simba sc msimu wa kwanza goli 23 msimu uliofuata goli 22 na mpaka anaondoka Simba sc aliishia goli 14.
Misimu mitatu goli 59.πͺ
Kuna shabiki wa Yanga nmemskia anaituhumu Simba imenunua game.
Anadai kuwa ni mpira gani kila shoot likilenga goli golkipa hadaki π
Prisons najua wakiwa kwao wanakuwa wagumu.Una wajua Tanzania prison?? Alie kwambia wameshuka daraja nani ? Match ya kujipigia ni ya simba wanao cheza na Costal union hawa ni ndugu lazima Saidi aji pigie tu wata ungana hadi na costal kumpa pass side
Mkuu afu skendo zinatembea kwa kasi ya ajabu sana.
Afu hapo hapo akakosolewa na mwenzake kwa kumkumbusha kuwa Prisons nao ni tawi lao hahahaha nimecheka kama mazuriMkuu afu skendo zinatembea kwa kasi ya ajabu sana.
Nkamskia huyo mtu wa utopolo ana madai hayahaya kuwa coastal ni tawi la simba π
Yanga wanawasiwasi tu kisa Mayele kakaribiwa.Afu hapo hapo akakosolewa na mwenzake kwa kumkukbusha kuwa Prisons nao ni tawi lao hahahaha nimecheka kama mazuri
Wako insecure, jana Mayele sijui kama alipata usingizi.Yanga wanawasiwasi tu kisa Mayele kakaribiwa.
Wanahisi ni njama hawajiamini tu
Wako insecure, jana Mayele sijui kama alipata usingizi.
Na hizi mechi zingechezwa muda mmoja ungeshuhudia uuzwaji halisi wa mechi.
Kipindi cha kwanza kinaisha, Mayele cha kwanza anachukua Simu anacheki live score anakuta Saido kafunga goli 2.
Muda huo huo GSM anamuita Refa, kipindi cha pili kinaanza baada ya touch mbili tatu katikati ya uwanja refa anafunika tuta, mpigaji Mayele.
Hapo kunakuwa na kazi mbili, kazi ya kwanza ni kumuomba Mungu wapate penati, kazi ya pili ni kumuomba tena Mungu Mayele asipaishe
Kazi ya kumuomba Mungu πππWako insecure, jana Mayele sijui kama alipata usingizi.