Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

Screenshot_20230607-174241.png
 
Mtoa mada umeanza fatilia mpira lini? Lewandosky alifunga bao 5 ndani ya dk9 tu sembuse huyu ndani ya dk 90
 
Mayele is overrated! Hakuna msimu amefikisha goli 17.

Na msimu huu mfungaji bora ni Saido Ntibazonkiza.
Striker wa kigeni kuwahi kuwepo Tanzania ni Medie Kagere tu. Akiwa Simba sc msimu wa kwanza goli 23 msimu uliofuata goli 22 na mpaka anaondoka Simba sc aliishia goli 14.

Misimu mitatu goli 59.💪
Mayele hamna kitu pale
 
Una wajua Tanzania prison?? Alie kwambia wameshuka daraja nani ? Match ya kujipigia ni ya simba wanao cheza na Costal union hawa ni ndugu lazima Saidi aji pigie tu wata ungana hadi na costal kumpa pass side
Prisons najua wakiwa kwao wanakuwa wagumu.

Mechi mkicheza halafu wakaonekana wanabutua butua na kuwaachia nafasi hapo nitajua kuna njama zimefanyika.
 
Nchi hii rushwa imezidi!
Umesahau mwaka jana Mpoli walivyomsaidia?
Anyway ndiyo kombe lao mwaka huu
 
Mkuu afu skendo zinatembea kwa kasi ya ajabu sana.

Nkamskia huyo mtu wa utopolo ana madai hayahaya kuwa coastal ni tawi la simba 😀
Afu hapo hapo akakosolewa na mwenzake kwa kumkumbusha kuwa Prisons nao ni tawi lao hahahaha nimecheka kama mazuri
 
Afu hapo hapo akakosolewa na mwenzake kwa kumkukbusha kuwa Prisons nao ni tawi lao hahahaha nimecheka kama mazuri
Yanga wanawasiwasi tu kisa Mayele kakaribiwa.

Wanahisi ni njama hawajiamini tu
 
Sijui kama unajua mpira kama unajua basi hauna akili timamu vilevile ngoja nikukumbushe mambo baadhi;-

1.Saido sio mchezaji wa kwanza kufunga magori 5 kwenye mchezo mmoja.
Messi,Halaand na wengine wengi washawahi kufanya hivyo.

2.Simba ndio kilabu inayoongoza kufunga magori mengi kwenye ligi msimu huu na kila mara hata utopolo washawahi kulambwa 5 juzi tu mtu kilabu bingwa kagongwa 7 Leo iwe dodoma kufungwa tano na mtu mmoja???!

3.kipindi manyere kazidiwa na Moses Phiri kukawa na kampeni ya kupiga kiatu na misumari Moses Phiri mpaka ikafanikiwa hukusema chochote.

4.ukiona manyere atazidiwa basi ingia wewe na familia yako mkafunge magori mmpe huyo shaba wenu pambafu utoponenga!
 
Yanga wanawasiwasi tu kisa Mayele kakaribiwa.

Wanahisi ni njama hawajiamini tu
Wako insecure, jana Mayele sijui kama alipata usingizi.

Na hizi mechi zingechezwa muda mmoja ungeshuhudia uuzwaji halisi wa mechi.

Kipindi cha kwanza kinaisha, Mayele cha kwanza anachukua Simu anacheki live score anakuta Saido kafunga goli 2.

Muda huo huo GSM anamuita Refa, kipindi cha pili kinaanza baada ya touch mbili tatu katikati ya uwanja refa anafunika tuta, mpigaji Mayele.

Hapo kunakuwa na kazi mbili, kazi ya kwanza ni kumuomba Mungu wapate penati, kazi ya pili ni kumuomba tena Mungu Mayele asipaishe
 
Kazi ya kumuomba Mungu 😀😀😀
 
Back
Top Bottom