Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

Ila hamumtendei haki Saido. Sikuona dalili zozote za Polisi kumuachia afunge yeye wala mchezaji yoyote wa Simba. Hakuna aliyekuwa na mawazo kuwa Saido anaweza kumkimbiza Mayele hadi alipofunga goli la 3 ingawa mimi kwa jinsi gemu ilivyokuwa inaendelea baada ya goli la pili niliona anaweza kupata hata 4.

Tumpe maua yake hata kama inawauma baadhi yenu.
 
Mayele kama ni mfungaji kweli afunge magoli 20+ ,mbona Kagere alikuwa anafunga 20+ hakukuwa hata na mshindani wa karibu,tatizo makelele mengi sana,Mayele ni mzuri ila afunge sasa ili asiwe anapata mpinzani kama ilivyokuwa kwa kagere
 
Kesho kule Mbeya tutaona vituko. Prisons wenyewe wametoka uwanja wao wa nyumbani wa Sumbawanga wamerudi Mbeya ili tu kutowasumbua Yanga.
 
Simba ndo timu ya kwanza kuchukua makombe 29 ya ligi kuu
 
Mkuu acha hila. Nakumbuka Andy Cole mwaka 95 ila sikumbuki timu waliyocheza nayo alifunga goli 5 peke yake katika ushindi wa goli 9.
Kwahiyo sio wa kwanza na wala sio ajabu. Tuache negativity kwa kila jambo.
Mkuu mbona umempeleka mbali sana....Messi alipiga goli tano kwenye uefa champions league mbona n jambo normal tu
 
Mayele kama ni mfungaji kweli afunge magoli 20+ ,mbona Kagere alikuwa anafunga 20+ hakukuwa hata na mshindani wa karibu,tatizo makelele mengi sana,Mayele ni mzuri ila afunge sasa ili asiwe anapata mpinzani kama ilivyokuwa kwa kagere
Alifunga goli ngapi za penati kwenye hiyo 20+?

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…