SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Ila hamumtendei haki Saido. Sikuona dalili zozote za Polisi kumuachia afunge yeye wala mchezaji yoyote wa Simba. Hakuna aliyekuwa na mawazo kuwa Saido anaweza kumkimbiza Mayele hadi alipofunga goli la 3 ingawa mimi kwa jinsi gemu ilivyokuwa inaendelea baada ya goli la pili niliona anaweza kupata hata 4.
Tumpe maua yake hata kama inawauma baadhi yenu.
Tumpe maua yake hata kama inawauma baadhi yenu.