Mpenzi wake Jinsia gani?View attachment 2766609
View attachment 2766610
Klabu ya OGC nice iliingia katika taharuki na kusitisha shughuli zake zote baada ya kiungo mkabaji Alexis Beka Beka kutishia kujiua kwa kujitupa kutoka katika daraja refu kwa madai ya kuachwa na mpenzi wake. Polisi pamoja na jeshi la zimamoto lilifanikiwa kumuokoa kiungo huyo na hivi sasa amewekwa chini ya uangalizi akiwa pamoja na familia yake.
Beka kawa kama SeleeeeView attachment 2766609
View attachment 2766610
Klabu ya OGC nice iliingia katika taharuki na kusitisha shughuli zake zote baada ya kiungo mkabaji Alexis Beka Beka kutishia kujiua kwa kujitupa kutoka katika daraja refu kwa madai ya kuachwa na mpenzi wake. Polisi pamoja na jeshi la zimamoto lilifanikiwa kumuokoa kiungo huyo na hivi sasa amewekwa chini ya uangalizi akiwa pamoja na familia yake.
Kwahiyo walimuwahi kabla hajaruka au?Aisee huyu Mwamba alikuwa anayaaga mashindano... hapo alipokaa ni mwendo wa upepo tu kumsukuma mlevi
View attachment 2766615
AiseeHuku kwetu ukiachwa unaenda kutoa na shukrani ya pekee
Kwa Mwamposa😁😁Huku kwetu ukiachwa unaenda kutoa na shukrani ya pekee
AahaaaaaAtakuwa na DNA na iringa huyo
AahaaaaaaHuku kwetu ukiachwa unaenda kutoa na shukrani ya pekee
Wangemwacha ajirushe,***** zakeAisee huyu Mwamba alikuwa anayaaga mashindano... hapo alipokaa ni mwendo wa upepo tu kumsukuma mlevi
View attachment 2766615