Mchezaji mpira wa klabu ya OGC Nice anusurika kifo kwa kutaka kujirusha kutoka kwenye daraja baada ya kuachwa na Mpenzi wake

Mchezaji mpira wa klabu ya OGC Nice anusurika kifo kwa kutaka kujirusha kutoka kwenye daraja baada ya kuachwa na Mpenzi wake

Aii selemani wee sele sele sele!
Mwenzake Athumani kapora demu wa mtu Club kaondoka nae kaenda kumkanda asubuhi jamaa wa Baba ubaya wametimba mtaani kwao wakiwa na mapanga na marungu na kutembeza kichapo mtu mmoja baada ya mwingine kisha Athumani aliposhtukia Mchezo kamuacha demu yeye kaingia mitini

Athumani na Selemani akili zao wanazijua wenyewe
 
Jinga kabisa yaani jitu liECHIBII halafu linataka kujiua kisa kuachwa? Au ni BOFLO?
 
Wanawake wamejaa tele kote duniani! Anacheza mpira! Ana hela ya kumuwezesha kuishi!! Inakuwaje afikie maamuzi ya kijinga kama hayo!!!
 
Back
Top Bottom