Mchezaji Mwandamizi Simba SC: Tunafanya Kusudi Kucheza vibaya ili Kocha ajue hatuna Furaha nae na Mshambuliaji Baleke anatudharau sana Wenzake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Tunajua mnachukia ila nasi pia hatuna la kufanya kwani tumevumilia na sasa tumeamua kufikisha Malalamiko yetu kwa Vitendo"

"Kocha wetu Mbrazili Roberto Oliveira ni Mbaguzi, ana Matusi halafu hana Furaha nasi Kambini na hataki Ukaribu wala Urafiki na Sisi Wachezaji wake"

"Tusiwaficheni Mashabiki ukweli ni kwamba Wachezaji wa Simba SC hatuna Furaha na Dharau anazotufanyia Mshambuliaji Jean Baleke na Sisi kwa Kumkomoa tumekubaliana kutompa Pasi na aitafute Mwenyewe"

"Baleke ana Nyodo na Kashfa kwetu hata Mkongo mwenzake Inonga alimuonya na hajabadilika na kibaya zaidi anapewa Jeuri hii na Baba yake ampendae Kocha Roberto Oliveira"

Zote hizi ni Nukuu za Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC mwenye Urafiki nami GENTAMYCINE na kwa Kumlinda na Kuheshimiana nae kamwe sitoweza Kumtaja kwani nitamhatarishia Amani na Furaha yake hapa duniani.

Mchana niliahidi kuja na Exclusive Mbili kuhusu yanayojiri Simba SC na hii ni ya Kwanza na nawaomba muianini kwa 100% kwani GENTAMYCINE Mfalme huwa sibahatishi na sitokuja kubahatisha kwa Taarifa zangu hivyo bado Moja ya Pili nakuja nayo hivi punde tu.

Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu hizi GENTAMYCINE The King akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na Watangazaji hadi Wachambuzi wa Habari za Michezo mkiitumia / mkiichukua hapa tafadhali msisahau kutoa Credits kwa niliyeileta mkaijua na kwa Mtandao huu pendwa na tukuka wa JamiiForums sawa?

Nimemaliza.
 
mm89.jpg
 
hii ni hatari kwa maendeleo ya simba
 
Sasa hao akina Onana ,Bocco wenye heshima, hawamfikii Baleke kwa magoli NBCpl?wawapasie wafunge.au wafunge wenyewe pale jangwani yeyote anatupia.
 
Pamoja na kiburi na majivuno ya Mtani wangu Genta, ila namuamini sana kwenye Taarifa za Ufukunyuzi za Kimafia kwenye Soka la Tanzania ...Kila Tano Muraa!
Asante Mtani na naendelea Kusisitiza tena kwa Kujiamini kabisa kuwa iamini hii Taarifa niliyoileta hapa kwa 100% sawa?
 
Wangekuwa wanacheza vibaya wangefungwa Kila mechi, ila kwa vile wanacheza vizuri ndo maana wanashinda Kila mechi iliyo mbele yao.
 
"Tunajua mnachukia ila nasi pia hatuna la kufanya kwani tumevumilia na sasa tumeamua kufikisha Malalamiko yetu kwa Vitendo"

"Kocha wetu Mbrazili Roberto Oliveira ni Mbaguzi, ana Matusi halafu hana Furaha nasi Kambini na hataki Ukaribu wala Urafiki na Sisi Wachezaji wake"

"Tusiwaficheni Mashabiki ukweli ni kwamba Wachezaji wa Simba SC hatuna Furaha na Dharau anazotufanyia Mshambuliaji Jean Baleke na Sisi kwa Kumkomoa tumekubaliana kutompa Pasi na aitafute Mwenyewe"

"Baleke ana Nyodo na Kashfa kwetu hata Mkongo mwenzake Inonga alimuonya na hajabadilika na kibaya zaidi anapewa Jeuri hii na Baba yake ampendae Kocha Roberto Oliveira"

Zote hizi ni Nukuu za Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC mwenye Urafiki nami GENTAMYCINE na kwa Kumlinda na Kuheshimiana nae kamwe sitoweza Kumtaja kwani nitamhatarishia Amani na Furaha yake hapa duniani.

Mchana niliahidi kuja na Exclusive Mbili kuhusu yanayojiri Simba SC na hii ni ya Kwanza na nawaomba muianini kwa 100% kwani GENTAMYCINE Mfalme huwa sibahatishi na sitokuja kubahatisha kwa Taarifa zangu hivyo bado Moja ya Pili nakuja nayo hivi punde tu.

Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu hizi GENTAMYCINE The King akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na Watangazaji hadi Wachambuzi wa Habari za Michezo mkiitumia / mkiichukua hapa tafadhali msisahau kutoa Credits kwa niliyeileta mkaijua na kwa Mtandao huu pendwa na tukuka wa JamiiForums sawa?

Nimemaliza.
hovyo
 
Suala la timu kucheza vibaya sikubaliani kwasababu Simba haijafungwa mechi yeyote.

Ila hapo kwa kocha na huyo mshambuliaji Baleke inawezekana ikawa ni kweli.

Ushauri ni kwamba wachezaji wajitambue kuwa wapo pale kwaajili ya timu ya Simba na si kocha au mchezaji.

Hivi Kuna mtu anaweza kufanya kazi vibaya ofisini kwake kisa tu haelewani na meneja au Mfanyakazi mwenzake?
 
Huu ni mpasuko ndani ya timu msitufanyie hivyo mashabiki
 
Suala la timu kucheza vibaya sikubaliani kwasababu Simba haijafungwa mechi yeyote.

Ila hapo kwa kocha na huyo mshambuliaji Baleke inawezekana ikawa ni kweli.

Ushauri ni kwamba wachezaji wajitambue kuwa wapo pale kwaajili ya timu ya Simba na si kocha au mchezaji.

Hivi Kuna mtu anaweza kufanya kazi vibaya ofisini kwake kisa tu haelewani na meneja au Mfanyakazi mwenzake?
Hakuna chochote cha ukweli alichoandika POPOMA
 
Back
Top Bottom