GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Tunajua mnachukia ila nasi pia hatuna la kufanya kwani tumevumilia na sasa tumeamua kufikisha Malalamiko yetu kwa Vitendo"
"Kocha wetu Mbrazili Roberto Oliveira ni Mbaguzi, ana Matusi halafu hana Furaha nasi Kambini na hataki Ukaribu wala Urafiki na Sisi Wachezaji wake"
"Tusiwaficheni Mashabiki ukweli ni kwamba Wachezaji wa Simba SC hatuna Furaha na Dharau anazotufanyia Mshambuliaji Jean Baleke na Sisi kwa Kumkomoa tumekubaliana kutompa Pasi na aitafute Mwenyewe"
"Baleke ana Nyodo na Kashfa kwetu hata Mkongo mwenzake Inonga alimuonya na hajabadilika na kibaya zaidi anapewa Jeuri hii na Baba yake ampendae Kocha Roberto Oliveira"
Zote hizi ni Nukuu za Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC mwenye Urafiki nami GENTAMYCINE na kwa Kumlinda na Kuheshimiana nae kamwe sitoweza Kumtaja kwani nitamhatarishia Amani na Furaha yake hapa duniani.
Mchana niliahidi kuja na Exclusive Mbili kuhusu yanayojiri Simba SC na hii ni ya Kwanza na nawaomba muianini kwa 100% kwani GENTAMYCINE Mfalme huwa sibahatishi na sitokuja kubahatisha kwa Taarifa zangu hivyo bado Moja ya Pili nakuja nayo hivi punde tu.
Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu hizi GENTAMYCINE The King akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na Watangazaji hadi Wachambuzi wa Habari za Michezo mkiitumia / mkiichukua hapa tafadhali msisahau kutoa Credits kwa niliyeileta mkaijua na kwa Mtandao huu pendwa na tukuka wa JamiiForums sawa?
Nimemaliza.