Mchezaji mwenye Umri mkubwa kwa Simba SC hii ya sasa ana miaka 22 tu, je, wa Vilabu vingine wana mingapi?

Mchezaji mwenye Umri mkubwa kwa Simba SC hii ya sasa ana miaka 22 tu, je, wa Vilabu vingine wana mingapi?

hao vijana ndo walambwe 6...!!
nyie hamuoni kwamba bado mnamatatizo yakutatua..? hao mnaowaita wazee. ndio waliowalamba 5! nishajua nyie mnapofeli mpira wenu imeegemea kwenye maneno ufundi aaaah!..😅
 
Wanagombana na wazee wa timu wanasahau kikosi pia kimejaa wazee. Ngoja wazee waamue kuungana mkono, watajua hawajui
 
Kuna Daktari mmoja wa Hospitali moja ( yenye Hadhi ) kasema kuna Timu Mchezaji wao mwenye Umri mdogo ni 43.
Ndo maana maisha ni kama mlango,unaweza kupita kwenye dirisha na kula mkate, ila kitunguu hakiwezi kua kiti hata kama swala anaendesha redio.
 
IMG_2481.jpeg

Unakumbuka kikosi hiki?!
 
Tuna misimu mitatu tunachukua ubingwa , period.
Viva Simba
 
Kuna Daktari mmoja wa Hospitali moja ( yenye Hadhi ) kasema kuna Timu Mchezaji wao mwenye Umri mdogo ni 43.
Duu kwa hiyo Kapombe,Shabalala,Mzamiru, Ngoma nk wana miaka 20........? Tutakutana uwanjani hata Banda na Sakho walikuwa na umri mdogo leo wako wapi?
 
Back
Top Bottom