Mchezaji mwingine aliyeichezea YANGA kuishtaki klabu hio kwa kushindwa kumlipa stahiki zake

Sisi tunazungumzia madeni ya yanga wewe unazungumzia madeni ya mo, mo ni mfanyabiashara kudaiwa ni kawaida sasa yanga wanafanya biashara gani sasa wataishiwa kufungiwa na FIFA kusajili au kushushwa daraja
Sasa itojee Wakafungiwa au kushushwa daraja na hao Fifa, wewe utapata madhara gani? Nyinyi ndiyo maana mliitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wenu mstaafu Rage.
 
Hahhaaha acha kufananisha klabu za uingereza na vitu vya KISHENZI wewe ...wachezaji hata makocha ulaya wanavunja mikataba na wanalipwa on spot, narudia acha kufananisha eti Chelsea na yanga ...una wazimu mkubwa ...
 
Umenichekesha sana...eti MANJI..yuko wapi sasa ..si angekuepo sasa kuokoa JAHAZI ...mmepewa hao MAMBURULA GSM lakini bado wanawachezea ngoma ya unyago hamna kitu. Halalfu mmekalisha MAPUMBU / KORODANI mnasubiri MO afilisike mpate LA kuongea..mtasubiri hadi KIFO / KIAMA
 
Sasa itojee Wakafungiwa au kushushwa daraja na hao Fifa, wewe utapata madhara gani? Nyinyi ndiyo maana mliitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wenu mstaafu Rage.
Yule mzungu hajakosea kuwaita mashabiki wa Yanga ni Manyani na wanabweka kama mbwa.....aliona mbali sana....kweli hizi ni akili za nyani....na kelele za mbwa.....
 
Wewe mbumbumbu unategemea huyo Mwamedi wako atawafadhili milele? By the way, Nani anamuombea afilisike? Nimekutolea tu mfano. Afilisike asifilisike, hanisaidii chochote.
 
Hahhaaha acha kufananisha klabu za uingereza na vitu vya KISHENZI wewe ...wachezaji hata makocha ulaya wanavunja mikataba na wanalipwa on spot, narudia acha kufananisha eti Chelsea na yanga ...una wazimu mkubwa ...
Mbumbumbu katika ubora wake.
 
Manyani fc lipeni madeni ya watu, kama hayo magodoro ya GSM hayauziki low quality, pitisheni bakuri tuwachangie
 
Kama tanzania inadaiwa iweje ushangae madeni ya club ya yanga iliyopo ktk nchi yenye madeni?

Unaweza kuta hata wewe mleta mada wazazi wako walikusomesha na huna msaada nao wowote mpaka leo unaendelea kuwa tegemezi kwao.

Badili fikra yako ya kujadili matatizo au shida za wengine wakati we mwenyewe hujakamilika.
 
Tanzania inadaiwa na wafanya kazi wake?
Utopolo hata hamuelewi.
Hapa kinachoongelewa ni madeni yanayotokana na kulipa wachezaji/waajiriwa na si madeni mengine.
 
Sasa itojee Wakafungiwa au kushushwa daraja na hao Fifa, wewe utapata madhara gani? Nyinyi ndiyo maana mliitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wenu mstaafu Rage.
Hivi mkishitakiwa fifa utetezi wenu ndio huu kuwa mo anadaiwa na mabenki, dawa ya deni ni kulipa kama umbumbu mnao nyie fifa hawajui kama kuna timu ya wananchi wao wanaangalia sheria zinasemaje.
 
Mngekuwa wazalendo msingekubali kudhaminiwa na mkwepa kodi au hujui gsm na home shopping center ni kitu kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ