ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Inadaiwa Real Madrid ijekua Yanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa itojee Wakafungiwa au kushushwa daraja na hao Fifa, wewe utapata madhara gani? Nyinyi ndiyo maana mliitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wenu mstaafu Rage.Sisi tunazungumzia madeni ya yanga wewe unazungumzia madeni ya mo, mo ni mfanyabiashara kudaiwa ni kawaida sasa yanga wanafanya biashara gani sasa wataishiwa kufungiwa na FIFA kusajili au kushushwa daraja
Hahhaaha acha kufananisha klabu za uingereza na vitu vya KISHENZI wewe ...wachezaji hata makocha ulaya wanavunja mikataba na wanalipwa on spot, narudia acha kufananisha eti Chelsea na yanga ...una wazimu mkubwa ...Mbona hata Vilabu vikubwa tu duniani kama Chelsea, na vinginevyo vingi tu hudaiwa na wachezaji wao, makocha, nk wavunjapo hiyo mikataba!! Iweje nongwa kwa Yanga!!
Na nimetoa mfano wa huyo Mwamedi wenu makusudi tu ili nione mtakavyo tokwa na mapovu! Mwamedi kitu gani bhana! Yanga tulikuwa na Manji!! Sembuse Mwamedi!!!
Endeleeeni kujifariji , acheni DHULMATI lipeni pesa za watu MADHULMATIFull stop View attachment 1714188
Umenichekesha sana...eti MANJI..yuko wapi sasa ..si angekuepo sasa kuokoa JAHAZI ...mmepewa hao MAMBURULA GSM lakini bado wanawachezea ngoma ya unyago hamna kitu. Halalfu mmekalisha MAPUMBU / KORODANI mnasubiri MO afilisike mpate LA kuongea..mtasubiri hadi KIFO / KIAMAMbona hata Vilabu vikubwa tu duniani kama Chelsea, na vinginevyo vingi tu hudaiwa na wachezaji wao, makocha, nk wavunjapo hiyo mikataba!! Iweje nongwa kwa Yanga!!
Na nimetoa mfano wa huyo Mwamedi wenu makusudi tu ili nione mtakavyo tokwa na mapovu! Mwamedi kitu gani bhana! Yanga tulikuwa na Manji!! Sembuse Mwamedi!!!
Yule mzungu hajakosea kuwaita mashabiki wa Yanga ni Manyani na wanabweka kama mbwa.....aliona mbali sana....kweli hizi ni akili za nyani....na kelele za mbwa.....Sasa itojee Wakafungiwa au kushushwa daraja na hao Fifa, wewe utapata madhara gani? Nyinyi ndiyo maana mliitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wenu mstaafu Rage.
Sawa mbumbumbu fcYule mzungu hajakosea kuwaita mashabiki wa Yanga ni Manyani na wanabweka kama mbwa.....aliona mbali sana....kweli hizi ni akili za nyani....na kelele za mbwa.....
Wewe mbumbumbu unategemea huyo Mwamedi wako atawafadhili milele? By the way, Nani anamuombea afilisike? Nimekutolea tu mfano. Afilisike asifilisike, hanisaidii chochote.Umenichekesha sana...eti MANJI..yuko wapi sasa ..si angekuepo sasa kuokoa JAHAZI ...mmepewa hao MAMBURULA GSM lakini bado wanawachezea ngoma ya unyago hamna kitu. Halalfu mmekalisha MAPUMBU / KORODANI mnasubiri MO afilisike mpate LA kuongea..mtasubiri hadi KIFO / KIAMA
Mbumbumbu katika ubora wake.Hahhaaha acha kufananisha klabu za uingereza na vitu vya KISHENZI wewe ...wachezaji hata makocha ulaya wanavunja mikataba na wanalipwa on spot, narudia acha kufananisha eti Chelsea na yanga ...una wazimu mkubwa ...
Sawa Manyani fcSawa mbumbumbu fc
Nyauuuuu 😺😸😼🙀😿😾Sawa Manyani fc
Tanzania inadaiwa na wafanya kazi wake?Kama tanzania inadaiwa iweje ushangae madeni ya club ya yanga iliyopo ktk nchi yenye madeni?
Unaweza kuta hata wewe mleta mada wazazi wako walikusomesha na huna msaada nao wowote mpaka leo unaendelea kuwa tegemezi kwao.
Badili fikra yako ya kujadili matatizo au shida za wengine wakati we mwenyewe hujakamilika.
Hivi mkishitakiwa fifa utetezi wenu ndio huu kuwa mo anadaiwa na mabenki, dawa ya deni ni kulipa kama umbumbu mnao nyie fifa hawajui kama kuna timu ya wananchi wao wanaangalia sheria zinasemaje.Sasa itojee Wakafungiwa au kushushwa daraja na hao Fifa, wewe utapata madhara gani? Nyinyi ndiyo maana mliitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wenu mstaafu Rage.
Mngekuwa wazalendo msingekubali kudhaminiwa na mkwepa kodi au hujui gsm na home shopping center ni kitu kimojaTusiandikie mate, wewe si mwana msimbazi? Nenda kamuulize mpaka hapo alipo ana madeni au hana!
Mbaya zaidi yeye na Magabachori wenzake, wanakopa mamilioni ya shilingi kwenye Mabenki ya Nje kwa kuwekea dhamana za hati za mashamba yetu ya Mkonge, Viwanda vyetu vilivyo jengwa na Mzalendo halisi wa Nchi hii Mwl. J.K.Nyerere na kubinafsishwa kwa hao Magabachori kwa bei ya hasara, nk.