Hata mimi mwenyewe tu hapa nilipo nakwepa kodi! Sembuse hao Gsm! Makonda mwenyewe enzi hizo akiwa ni mtoto kipenzi, alijaribu kukwepa kodi kupitia yale makontena!Mngekuwa wazalendo msingekubali kudhaminiwa na mkwepa kodi au hujui gsm na home shopping center ni kitu kimoja
Umesahau ni miaka michache tu iliyopita mlikuwa mna hali ngumu kiasi cha timu yenu kuundwa na kikosi cha U20! Akina Mkude, na wengineo!!Kidimbwi FC inapita kipindi cha mateso makali sana
Mghoshi hapo ndiyo unapoteaga kabisa, tunazungumzia mashindano yanayoendelea sasa, kama hiyo historia yenu mnayotambia iko applicable tuambieni mnashiriki mashindano gani ya kimataifa? Tulieni wanaume tunawatengenezea mipango na nyie mwakani mpande mwewe,msilishwe matango pori na huyo kilo mia nane hana msaada na Yanga yupo kubunya hela za Gharib tu.Umesahau ni miaka michache tu iliyopita mlikuwa mna hali ngumu kiasi cha timu yenu kuundwa na kikosi cha U20! Akina Mkude, na wengineo!!
Hata katika maisha kuna kipindi cha mpito. Kiufupi timu yetu ipo mahali pazuri zaidi ukilinganisha na wakati ambapo Yusuph Manji alijitoa kuidhamini.