Malinzi ameshafika mwisho wa upeo wake akabidhi kijiti kwa mwingineUtawala wa Malinzi umeitelekeza mikoa ya kisoka,eti kubalance,peleka nyasi mbeya, morogoro, kigoma etc
Sokoine ni uwanja unaomilikiwa na CCM utawekwaje nyasi nacL TFF?Kuna kipindi Sokoine ulifungwa kwa ajili ya kupanda Nyasi za kisasa sio bandia lakini.
Sokoine una pitch nzuri tu sema matumizi ya Viwanja vyetu ni Multipurpose gwaride humohumo,mbio za mbuzi humohumo.
Cha msingi ni utunzaji wa Viwanja vyetu tuu hata hizi nyasi za kawaida zikitunzwa ni nzuri pia
Carbon 14Yule dogo nilivyomtizama! Ni kijeba Kweli, najiuliza tu wanatumia vipimo gani kutambua umri halisi wa mtu!
Duh!!!Tff wamelipeleka FIFA,Jamaa wanasema Mchezaji amekufa kutokana na Vita
Au jamaa wanashirikiana na CAF nini... nahisi hilo ni game linachezwaTff wamelipeleka FIFA,Jamaa wanasema Mchezaji amekufa kutokana na Vita
kama kafa kweli inakuaje?!..itabid akafukuliwe tu,hakuna namnaAu jamaa wanashirikiana na CAF nini... nahisi hilo ni game linachezwa