Mchezaji wa Congo Brazzaville Aliyekatiwa Rufaa na TFF Kupimwa Leo

Mchezaji wa Congo Brazzaville Aliyekatiwa Rufaa na TFF Kupimwa Leo

Utawala wa Malinzi umeitelekeza mikoa ya kisoka,eti kubalance,peleka nyasi mbeya, morogoro, kigoma etc
Malinzi ameshafika mwisho wa upeo wake akabidhi kijiti kwa mwingine
 
Kuna kipindi Sokoine ulifungwa kwa ajili ya kupanda Nyasi za kisasa sio bandia lakini.
Sokoine una pitch nzuri tu sema matumizi ya Viwanja vyetu ni Multipurpose gwaride humohumo,mbio za mbuzi humohumo.

Cha msingi ni utunzaji wa Viwanja vyetu tuu hata hizi nyasi za kawaida zikitunzwa ni nzuri pia
Sokoine ni uwanja unaomilikiwa na CCM utawekwaje nyasi nacL TFF?
 
Yule dogo nilimuona walipokuja alikuwa mkubwa na hata uwezo wake wa kucheza na kufanya maamuzi sio ya mtu wa under 17. Haki itendeke
 
Daaah... jamaa hakufika kwenye vipimo akisingizia uwepo wa vita huko Congo hivyo asingeweza kusafiri
 
Daaah... jamaa hakufika kwenye vipimo akisingizia uwepo wa vita huko Congo hivyo asingeweza kusafiri
mpaka hapo dalili ya mvua ni mawingu,
Naimani Intelijensia ya Tff iko vizuri wana uhakika kbsa
ila tusubiri
 
ahaaa ahaaaaa pamoja si vizuri kufurahi ukisikia mtu amekufa lakini kwa hili inafurahisha
 
ahaaa ahaaaaa pamoja si vizuri kufurahi ukisikia mtu amekufa lakini kwa hili inafurahisha
Hawa jamaa kuna kitu wanaficha ndo maana kila kisu wanakuja na story mpya
 
Back
Top Bottom