Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
[emoji23] [emoji23] mkuu hata mimi nafikiria kufanya hvyo hvyo...siwaelewi kabisa hawa yangaMimi ushabiki wa mpira nauweka kabatini Jpili hii.
Kila la kheri mashabiki wa kandanda
Mimi ushabiki wa mpira nauweka kabatini Jpili hii.
Kila la kheri mashabiki wa kandanda
Huyu ni mcheźaji halali wa yanga na yanga imefuata taratibu zote mpaka kumsajili ikiwemo kukubaliana na síngida maana aliingia mkataba wa mwanzo tu. Hiyo picha ilipigwa mwezi May kipindi kile cha Fainal ya FAHawa wachezaji wa aina hii ni wahuni,yafaa TFF iwafungie.
Hata hivyo Yanga hawako serious,mwaka huu nawekeza nguvu na mapenzi yangu kwa Arsenal ambao maandalizi yao ni ya maana.
Sio mtanzania huyoWabongo kwa kujipa majina ya hovyo hovyo tu hawajambo,, eti "Chola Chirwa" ndiyo nini sasa?
Sio mtanzania huyo
Haa haa mkuu mbn mapema sanaMimi ushabiki wa mpira nauweka kabatini Jpili hii.
Kila la kheri mashabiki wa kandanda
Nimeshiriki kama zilivyoshiriki timu zetu za Ki Afrika, tutaonana tena 2022 Mungu akipendaHaa haa mkuu mbn mapema sana
Nimemsikia Huyo dogo kupitia Magic FM Yanga wamemlagai mtoto. Anasema mi kweli nilikua niende singinda wakaja yanga wakaniambia Singinda na yanga hawana tatizo wataelewana. Viongozi wa yanga wakatoka wakarudi tena wakamwambia tumeshamalizana na singinda ko haina shida we njoo usaini tu. Dogo anasema yeye ameenda kusaini yanga baada ya yanga kumalizana na singida.Huyu ni mcheźaji halali wa yanga na yanga imefuata taratibu zote mpaka kumsajili ikiwemo kukubaliana na síngida maana aliingia mkataba wa mwanzo tu. Hiyo picha ilipigwa mwezi May kipindi kile cha Fainal ya FA
Karibu sana Liverpool mrembo huko umepoteaHawa wachezaji wa aina hii ni wahuni,yafaa TFF iwafungie.
Hata hivyo Yanga hawako serious,mwaka huu nawekeza nguvu na mapenzi yangu kwa Arsenal ambao maandalizi yao ni ya maana.