Mchezaji wa JKU, Feisal(fei toto) asaini Yanga na Singida

Mchezaji wa JKU, Feisal(fei toto) asaini Yanga na Singida

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Ndio kama kichwa cha habari kinavyosomeka wala sijakosea,leo asubuhi fei toto alitangazwa kusajiliwa na singida utd lakini cha kushangaza majira ya mchana mchezaji huyo alitangazwa kusajiliwa na yanga..

Haya mambo yanatokea africs tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanajangwani karibuni mtie neno hapa

Joseverest
Nifah
Hajar

Screenshot_20180712-192418.jpg
 
Mimi ushabiki wa mpira nauweka kabatini Jpili hii.

Kila la kheri mashabiki wa kandanda
[emoji23] [emoji23] mkuu hata mimi nafikiria kufanya hvyo hvyo...siwaelewi kabisa hawa yanga
 
Mpira wa bongo ovyo kabisa..TFF wanashindwa kuwapa adhabu hawa jamaa
 
Tatizo timu zetu hazijui usajili unafanyikaje, mfano mchezaji ana mkataba na timu inatakiwa wewe unaemtaka uende kwenye hiyo timu upate kibali na muelewane release fee.
Lkn utashangaa timu inaenda kwa mchezaji tu inampa hela wanaona washamaliza.
Mfano simba kwa mbuyu twite wao wameenda kwa timu iliomchukua kwa mkopo badala ya timu halisi.
 
Singida hawana ubavu tena baada ya yule jamaa wa mitandio kutumbuliwa
 
Hawa wachezaji wa aina hii ni wahuni,yafaa TFF iwafungie.

Hata hivyo Yanga hawako serious,mwaka huu nawekeza nguvu na mapenzi yangu kwa Arsenal ambao maandalizi yao ni ya maana.
 
Hawa wachezaji wa aina hii ni wahuni,yafaa TFF iwafungie.

Hata hivyo Yanga hawako serious,mwaka huu nawekeza nguvu na mapenzi yangu kwa Arsenal ambao maandalizi yao ni ya maana.
Huyu ni mcheźaji halali wa yanga na yanga imefuata taratibu zote mpaka kumsajili ikiwemo kukubaliana na síngida maana aliingia mkataba wa mwanzo tu. Hiyo picha ilipigwa mwezi May kipindi kile cha Fainal ya FA
 
Nimemsikia Huyo dogo kupitia Magic FM Yanga wamemlagai mtoto. Anasema mi kweli nilikua niende singinda wakaja yanga wakaniambia Singinda na yanga hawana tatizo wataelewana. Viongozi wa yanga wakatoka wakarudi tena wakamwambia tumeshamalizana na singinda ko haina shida we njoo usaini tu. Dogo anasema yeye ameenda kusaini yanga baada ya yanga kumalizana na singida.
Mi nilichokiona ni kwamba Yangu wametumia nguvu yao kumsainisha dogo. Na kwa sababu wachezaji wenyewe hawajitabui ndo mana wanawalagai. Afu anakubali kabsa kua kweli singida walishanilipa hela za usajili. Afu mwisho anasema kama akifungiwa basi haina shida inawezekana mapenzi ya Mungu. Ila anawachia Yanga mana wamemwambia watamalizana na Singida.
 
Hawa wachezaji wa aina hii ni wahuni,yafaa TFF iwafungie.

Hata hivyo Yanga hawako serious,mwaka huu nawekeza nguvu na mapenzi yangu kwa Arsenal ambao maandalizi yao ni ya maana.
Karibu sana Liverpool mrembo huko umepotea
 
Back
Top Bottom