Mchezaji wa Kaizer Chiefs: Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge

😆😆
Acha tu akumbuke ule moto waliopelekewa ile siku siyo poa,walikuwa wanaomba mpira uishe..
Hapana
Wanakumbuka moto mliowasha kule s.A mpaka uwanja ukaungua
Sasa vigagula mtakosa kujulikana
 
Alipakatwa utopolo
"utopolo" ndiyo nani kati yao? Na kwanini wakaitwa hivyo?

Mimi nafahamu Simba zamani walikuwa Sunderland na Abidjan Ivory Coast. Yanga walikuwa Kuala Lumpur (kwala lumpa)na kanda mbili.

Haya majina mapya siyafaham. Nifahamisheni nisije nikakosea.
 
".....Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge."

Maneno ya Mchezaji wa Kaizer Chiefs baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa JK, Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Mwananchi.
Kocha wao wa zamani anawasalimu.
JamiiForums-1526832095_720x569.jpg

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UTO NI WAMATOPENI WANAJULIKANA HUKO KIDIMBWI TU
 
"utopolo" ndiyo nani kati yao? Na kwanini wakaitwa hivyo?

Mimi nafahamu Simba zamani walikuwa Sunderland na Abidjan Ivory Coast. Yanga walikuwa Kuala Lumpur (kwala lumpa)na kanda mbili.

Haya majina mapya siyafaham. Nifahamisheni nisije nikakosea.
FB_IMG_1688656299815.jpg
 
Jina la utopolo lilianzia hapa

Back
Top Bottom