Fainali ya CAF iliangaliwa dunia nzima na Mgeni rasmi alikuwa Rais wa CAF.Huko kimataifa inajulikana simba tu
Alipakatwa utopoloHivi mara ya mwisho walipocheza Yanga na Simba alifungwa nani?
Hapana😆😆
Acha tu akumbuke ule moto waliopelekewa ile siku siyo poa,walikuwa wanaomba mpira uishe..
Dakika 1 ya maombolezo🤣".....Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge."
Maneno ya Mchezaji wa Kaizer Chiefs baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa JK, Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Mwananchi.
"utopolo" ndiyo nani kati yao? Na kwanini wakaitwa hivyo?Alipakatwa utopolo
Kocha wao wa zamani anawasalimu.".....Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge."
Maneno ya Mchezaji wa Kaizer Chiefs baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa JK, Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Mwananchi.
Umaarufu wake ni kuwasha moto uwanjani.Huko kimataifa inajulikana simba tu
Dakika 1 ya maombolezo🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UTO NI WAMATOPENI WANAJULIKANA HUKO KIDIMBWI TU
"utopolo" ndiyo nani kati yao? Na kwanini wakaitwa hivyo?
Mimi nafahamu Simba zamani walikuwa Sunderland na Abidjan Ivory Coast. Yanga walikuwa Kuala Lumpur (kwala lumpa)na kanda mbili.
Haya majina mapya siyafaham. Nifahamisheni nisije nikakosea.
Haya mambo wanafuatilia watoto tu? Dogo uwe unasalimia watu humu ndan na phd yako fekiIna maana ni Try again ndio anafanya huu utoto?
Basi huyo ni lazima atakuwa na account Tiktok.
Na wewe una account Tiktok? Yarabi.Haya mambo wanafuatilia watoto tu? Dogo uwe unasalimia watu humu ndan na phd yako feki
Na wewe una account Tiktok? Yarabi.
Hawa huku wamefuata nini ? Au kisa umebeba mavi kwenye chupi zenu kama asemavyyo manara?Na wewe una account Tiktok? Yarabi.
Umezoea kubokolewa lazima ukatafute mabwana Tiktok.Hawa huku wamefuata nini ? Au kisa umebeba mavi kwenye chupi zenu kama asemavyyo manara?
Unataka kusema Timu yenu yote mnabokolewa mpaka mfungue account tik tok ?Umezoea kubokolewa lazima ukatafute mabwana Tiktok.
Mimi siyo mfuata Mkumbo, siwezi kuwa na account Tiktok that's it.
Jina la utopolo lilianzia hapa"utopolo" ndiyo nani kati yao? Na kwanini wakaitwa hivyo?
Mimi nafahamu Simba zamani walikuwa Sunderland na Abidjan Ivory Coast. Yanga walikuwa Kuala Lumpur (kwala lumpa)na kanda mbili.
Haya majina mapya siyafaham. Nifahamisheni nisije nikakosea.