joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hatulumbani, tunawaambia wakenya ukweli kuwa nchi yao na watu wao ni maskini sana wasijilinganishe na TanzaniaMimi ni Mtanzania, hata hivyo nimekuwa sipendezwi na threads za malumbano au ulinganishaji kati ya Tanzania na Kenya. Huu uzi ulipaswa kuwa ni wa kimichezo zaidi kuliko kisiasa. Michezo ni furaha, michezo huunganisha watu. Sisi sote ni ndugu, tunabaguana halafu eti tunapinga ubaguzi unaofanywa na watu wengine!
Sasa Kahata na wewe nani ana utajiri? Mwenzio amepata fursa, muache aitumie. Hata golikipa Ivo Mapunda aliondoka Tanzania akaenda kucheza KenyaHatulumbani, tunawaambia wakenya ukweli kuwa nchi yao na watu wao ni maskini sana wasijilinganishe na Tanzania
Hata mm nafunganya virago
Karibu ufikie kwangu [emoji28][emoji41]
Karibu sana katika nchi ya maziwa na asali, karibu katika nchi yenye umoja, amani na upendo.Hata mm nafunganya virago
Umesahau wakenya walivyowabagua watanzania kwa kuwafungia mipaka wasiende Kenya na kuzuia ndege za Tanzania kuingia Kenya huku wakiruhusu Wachina na wazungu wenye idadi kubwa ya Corona zaidi ya Tanzania?, wacha kujitia hamnazi, mpende anayekupenda, hapa ni "tit-for-tat.Kuna watu mna kichaa Kama sio upuuzi kichwani. Kila Kitu mnaleta siasa mpaka kwenye michezo.
Mimi ni mtanzania ila huu upumbavu wa kubaguana sisi weusi wakati shida zimetujaa ni uchuro. Tubadirike.
Msikilize kahataKwa EA Tanzania ndiyo inayolipa vizuri wachezaji, na ndiyo ligi bora kwa East Africa. Waliotuzidi ni congo pekee kwa central africa.
Hafu Tanzania kumbuka ndo nchi yenye mabilionea wengi zaidi hafu wapenda mpira. Utasugua sana kupata battle la kifedha kama la yanga na simba kwa nchi maskini kama Kenya, uganda na Rwanda.
Kwani umeulizwa wewe ni MtanzaniaKuna watu mna kichaa Kama sio upuuzi kichwani. Kila Kitu mnaleta siasa mpaka kwenye michezo.
Mimi ni mtanzania ila huu upumbavu wa kubaguana sisi weusi wakati shida zimetujaa ni uchuro. Tubadirike.
Kwani umeulizwa uniulize mimi ni Mtanzania.Kwani umeulizwa wewe ni Mtanzania
Ndio maana kuna magroup mengi humu ukiona huku sio hobi yako unaweza kwenda hata kwenye urembo kule , umeingia mwenyewe ,umesoma habari mwenyewe hujalazimishwa na mtu halafu unalalamika kwani kuna group moja humuMimi ni Mtanzania, hata hivyo nimekuwa sipendezwi na threads za malumbano au ulinganishaji kati ya Tanzania na Kenya. Huu uzi ulipaswa kuwa ni wa kimichezo zaidi kuliko kisiasa. Michezo ni furaha, michezo huunganisha watu. Sisi sote ni ndugu, tunabaguana halafu eti tunapinga ubaguzi unaofanywa na watu wengine!
Kwa EA Tanzania ndiyo inayolipa vizuri wachezaji, na ndiyo ligi bora kwa East Africa. Waliotuzidi ni congo pekee kwa central africa.
Hafu Tanzania kumbuka ndo nchi yenye mabilionea wengi zaidi hafu wapenda mpira. Utasugua sana kupata battle la kifedha kama la yanga na simba kwa nchi maskini kama Kenya, uganda na Rwanda.
Kawaambia Nani mzungu hana shida?Kuna watu mna kichaa kama sio upuuzi kichwani. Kila kitu mnaleta siasa mpaka kwenye michezo.
Mimi ni Mtanzania ila huu upumbavu wa kubaguana sisi weusi wakati shida zimetujaa ni uchuro.
Tubadirike.
Ni habari ya michezo lakiniNdio maana kuna magroup mengi humu ukiona huku sio hobi yako unaweza kwenda hata kwenye urembo kule , umeingia mwenyewe ,umesoma habari mwenyewe hujalazimishwa na mtu halafu unalalamika kwani kuna group moja humu
Tanzania uchumi wake upo mikononi mwa wa Tanzania na unawafikia watu wengi zaidi ya Kenya, Tanzania ina matajiri wengi ambao wamesambaa nchi nzima hadi vijijini, Kenya matajiri ni wachache na wengi huamisha pesa zao na kuziweka nchi za Ulaya na Marekani. Kenya uchumi wake upo mikononi mwa watu wachache sana hauwasaidii wananchi wa chini.Kwa hivyo TZ ni tajiri kushinda Kenya?