Mchezaji wa Kenya atorokea Tanzania baada ya kukosa kulipwa mshahara kwa miezi 5 mfululizo

Mchezaji wa Kenya atorokea Tanzania baada ya kukosa kulipwa mshahara kwa miezi 5 mfululizo

Kwa hivyo TZ ni tajiri kushinda Kenya?
FYI
JamiiForums416240246.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania uchumi wake upo mikononi mwa wa Tanzania na unawafikia watu wengi zaidi ya Kenya, Tanzania ina matajiri wengi ambao wamesambaa nchi nzima hadi vijijini, Kenya matajiri ni wachache na wengi huamisha pesa zao na kuziweka nchi za Ulaya na Marekani. Kenya uchumi wake upo mikononi mwa watu wachache sana hauwasaidii wananchi wa chini.

Z😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

I never knew how much awkward I was to take this free battled standard tap water for granted, dah Aiseee yaani kuoga kunalipiwa really like seriously?

Anzisha uzi mkuu, kuna vitu Tanzania tunqvichukulia poa sanaa, Sijawahi kuwaza kama hiki kitu kinawezekana,

Halafu kiswahili nacho tatizo, eti mmiliki wa mradi wa bafu wanamuita 'mchuuzi' 🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Z[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

I never knew how much awkward I was to take this free battled standard tap water for granted, dah Aiseee yaani kuoga kunalipiwa really like seriously?

Anzisha uzi mkuu, kuna vitu Tanzania tunqvichukulia poa sanaa, Sijawahi kuwaza kama hiki kitu kinawezekana,

Halafu kiswahili nacho tatizo, eti mmiliki wa mradi wa bafu wanamuita 'mchuuzi' [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Mchuuzi c mvuvi?
 
Mimi ni Mtanzania, hata hivyo nimekuwa sipendezwi na threads za malumbano au ulinganishaji kati ya Tanzania na Kenya. Huu uzi ulipaswa kuwa ni wa kimichezo zaidi kuliko kisiasa. Michezo ni furaha, michezo huunganisha watu. Sisi sote ni ndugu, tunabaguana halafu eti tunapinga ubaguzi unaofanywa na watu wengine!
Wanaleta malumbano ya kipuuzi hadi tunaonekana waTZ wote ni wajinga-wajinga
 
Hatulumbani, tunawaambia wakenya ukweli kuwa nchi yao na watu wao ni maskini sana wasijilinganishe na Tanzania
Ikusaidie nn ?? Sikia wakenya Ni ndugu zetu. Na sio kwa mipaka ya ukoloni. Napingana na wore wanaoshadadia utofauti was hizi nchi mbili. Badala ya kupendana tunabaguana!! Huu Ni ujinga Wakenya acheni nyodo za kipumbavu kuwaona watanzania washamba Sana. Ninyi watanzania acheni UPOPOMA kujiona mna maisha Bora kuliko Wakenya. TUNATEGEMEANA huo ndo ukweli.

Ni ujinga kutunishuana misuli Kila uchao. Mna tofaut gani na wabaguzi wengine ilihali hampendani. wabaguzi wakubwa nyie. Waafrika tupendane kuheshimiana kuthaminiana na kusaudiana.SIPENDI UJINGA MNAJIFANYA MMESOMA KUMBE KICHWANI HAMNA MAWAZO CHANYA. . Acheni kubaguana, Pendaneni
 
Mchuuzi c mvuvi?
Mchuuzi ni mtu anayenunua bidhaa kwa jumla then kwenda kuuza rejareja but mostly with very low capital and investment

Yaani Wakenya waachane tu na kiswahili, wanaongea utopolo mtupu, ingekua ni media za bongo zimefanya hivyo kwenye English ingekua global news 🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom