Mchezaji wa Kenya atorokea Tanzania baada ya kukosa kulipwa mshahara kwa miezi 5 mfululizo

Ni habari ya michezo lakini
Wakenya wanapenda kujifanya wao wako juu ndio maana unaona mpaka wanafikia kuchukua maamuzi ya upande mmoja mfano kwenye kufungua anga Sasa ndo tunawaonesha kuwa TZ inauwezo mkubwa sio kama wanavyoichukulia wao
 
Z๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

I never knew how much awkward I was to take this free battled standard tap water for granted, dah Aiseee yaani kuoga kunalipiwa really like seriously?

Anzisha uzi mkuu, kuna vitu Tanzania tunqvichukulia poa sanaa, Sijawahi kuwaza kama hiki kitu kinawezekana,

Halafu kiswahili nacho tatizo, eti mmiliki wa mradi wa bafu wanamuita 'mchuuzi' ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Mchuuzi c mvuvi?
 
Wanaleta malumbano ya kipuuzi hadi tunaonekana waTZ wote ni wajinga-wajinga
 
Hatulumbani, tunawaambia wakenya ukweli kuwa nchi yao na watu wao ni maskini sana wasijilinganishe na Tanzania
Ikusaidie nn ?? Sikia wakenya Ni ndugu zetu. Na sio kwa mipaka ya ukoloni. Napingana na wore wanaoshadadia utofauti was hizi nchi mbili. Badala ya kupendana tunabaguana!! Huu Ni ujinga Wakenya acheni nyodo za kipumbavu kuwaona watanzania washamba Sana. Ninyi watanzania acheni UPOPOMA kujiona mna maisha Bora kuliko Wakenya. TUNATEGEMEANA huo ndo ukweli.

Ni ujinga kutunishuana misuli Kila uchao. Mna tofaut gani na wabaguzi wengine ilihali hampendani. wabaguzi wakubwa nyie. Waafrika tupendane kuheshimiana kuthaminiana na kusaudiana.SIPENDI UJINGA MNAJIFANYA MMESOMA KUMBE KICHWANI HAMNA MAWAZO CHANYA. . Acheni kubaguana, Pendaneni
 
Mchuuzi c mvuvi?
Mchuuzi ni mtu anayenunua bidhaa kwa jumla then kwenda kuuza rejareja but mostly with very low capital and investment

Yaani Wakenya waachane tu na kiswahili, wanaongea utopolo mtupu, ingekua ni media za bongo zimefanya hivyo kwenye English ingekua global news ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ