Mchezaji wa ligi kuu ya Tanzania bara aliyeumia mechi ya simba auguza jeraha

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258

Beki Tegemeo wa Ndanda FC, Aziz Sibo aliumia mguu katika mchezo wa timu yake dhidi ya Simba uliofanyika Jumamosi iliyopita, licha ya awali kuonekana hakuumia sana lakini salehjembe imepata picha zake akiwa amefungwa plasta ngumu maarufu kwa jina la hogo.
 
Kiukweli picha ya dogo imeniuma sana.............

 
kaza buti uje SIMBA Sibo
 
Hicho kiberiti hapo chini cha nini? anavuta au
 
kama mwanangu ana kipaji cha soka, nitam-export zambia akafanye soka kule kuliko hapa bongo

bora kila mwezi nimtumie hela ya kujikimu najua iko siku atapata timu kuliko hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…