Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Beki Tegemeo wa Ndanda FC, Aziz Sibo aliumia mguu katika mchezo wa timu yake dhidi ya Simba uliofanyika Jumamosi iliyopita, licha ya awali kuonekana hakuumia sana lakini salehjembe imepata picha zake akiwa amefungwa plasta ngumu maarufu kwa jina la hogo.